dunia

  1. Mjomba Fujo

    Ndugu wafidiwe pesa katika mitandao ya simu ikitokea wenye Akaunti zenye salio wameaga dunia

    Habari ndugu Watanzania, Nimesukumwa kuandika uzi huu, kutoka kwenye uzi mwingine uliofunguliwa juu ya madai ya mtu kumtumia mzigo mteja wake, na mteja imetokea ameaga dunia kabla ya kupokea mzigo. Niliwahi kufungua uzi kipindi cha nyuma unaoendana na huu ukiuliza ndugu wanafidiwa vipi maslahi...
  2. Championship

    TANZIA Profesa Henry Mgombelo wa UDSM afariki dunia

    Mwaka 2016 niliingia ofisini kwake pale CoICT nikitaka aniandikie reference letter nilipokuwa naenda kusoma University of Manchester. Sasa nikakuta amefungua JamiiForums, anatoa michango yake kwenye majukwaa mbalimbali. Aliwahi kunifundisha kozi kadhaa za Telecom Engineering nilipokuwa CoET...
  3. DeepPond

    TANZIA Sophia Leone afariki dunia

    Mwanatasnia maarufu Kutoka India Sophia Leone miaka 26 ameripotiwa kukutwa amefariki dunia nyumbani kwake, uku chanzo halisi Cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika kutoka kwenye mamlaka zinazohusika. Chanzo: New York Times, New York Post
  4. Powell Gonzalez

    Hii dunia kuna watu wamepinda sana

    duuuh kuna watu huwa wanaakili za wenyewe tu
  5. Q

    Maajabu ya Dunia

    Serikali ya Tanzania ni kikundi Cha wahuni ambacho kila siku wanapongezana , Tanzania hakuna haki......hakuna uhuru wowote mwenye nacho akiamua unafungwa atakama hauna makosa. Wananchi wanakufa hospital kwa kukosa ela ya matibabu alafu maiti wanazishikilia CCM ikiweka mgombea jiwe litashinda...
  6. Half american

    Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

    Habari wakuu, Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume. Sio kutaka kuhudumiwa alafu mwanaume akihitaji tunda zinaanza sababu "ooh bado ni mapema sana kufanya hivyo". Mbona hela na...
  7. Damaso

    Howard Webb: Lulu ya Soka katika Dunia

    Kwa nadharia, mpira wa miguu ni mchezo rahisi sana. Ila kiuhalisia, sio kweli ni mcheo mgumu na mchezo wa kikatili sana. Mchezo una sheria 17 pekee, lakini ni sheria ambazo utafsiri wake huwa ni mgumu sana endapo mwamuzi sio makini. Waamuzi wa Ligi kuu za mataifa mbalimba wanapaswa kufanya...
  8. JanguKamaJangu

    Watoto wa Staa wa Nollywood, Mr Ibu aliyefariki kufikishwa Mahakamani kwa Kula Hela za michango

    Ulimwengu wa Filamubza Nigeria 'Nollywood' umempoteza nyota wao wa filamu hasa za Vichekesho, John Okafor maarufu kwa jina la Mr Ibu (62) chanzo kikitajwa ni kupata Mshtuko wa Moyo ikiwa ni baada ya kuwa mgonjwa kwa muda mrefu. Mr Ibu aliyeigiza zaidi ya filamu 200 amefariki wakati alipokuwa...
  9. 2 of Amerikaz most wanted

    TANZIA Mwigiziaji Mkongwe, Mr. Ibu afariki dunia

    He died after fighting leg amputation. Mwigizaji wa Nigeria, John Okafor maarufu kama Mr Ibu (62) amefariki dunia leo Machi 2, 2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitalini. Kulingana na ripoti kutoka kwa vyanzo vya karibu vya mwigizaji huyo vimeripoti kuwa amefariki akiwa katika...
  10. K

    Hongera CCM: Umelijenga Taifa imara Kwa vizazi vijavyo

    Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini anayeifanya Tanzania kuwa hivi alivyo Leo ni Nabii anayekubalika ndio maana nataka hongera kwake, HONGERA...
  11. Yoyo Zhou

    Makelele ya vyombo vya habari vya Magharibi hayazuii China kuendelea kuchangia ukuaji wa uchumi wa dunia

    Takwimu zilizotolewa na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa pato la taifa la China la mwaka 2023 liliongezeka kwa asilimia 5.2 ikilinganishwa na mwaka 2022. Lakini likihesabiwa kwa dola za kimarekani, lilikuwa sawa ama hata chini kidogo kuliko mwaka 2022. Wakati huo huo, pato la taifa...
  12. BARD AI

    TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

    MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'. Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024...
  13. L

    Ongezeko la asilimia 5.2 la uchumi wa China kwa mwaka 2023 ni habari njema kwa Afrika na dunia

    Serikali ya China imetangaza kuwa uchumi wa China kwa mwaka 2023 ulikuwa na ongezeko la asilimia 5.2. Habari ambayo wachambuzi wa maswala ya kiuchumi duniani wanaiona kuwa ni habari inayoleta ahueni kwa dunia, hasa ikizingatiwa kuwa hali ya uchumi wa dunia kwa ujumla bado haijatengemaa. Kwenye...
  14. ward41

    Tusishabikie Vita, kuna hatari kubwa sana mbeleni

    Kwa Mara ya kwanza mabomu ya nuclear yalitumika mwaka 1945 pale Hiroshima na Nagasaki Athali zake zilikuwa kubwa sana. Watu walikufa, miundombinu iliharibika. Lakini cha ajabu, pamoja na madhara makubwa wa haya mabomu, wanadamu wameendelea kuyatengeneza na kuyaboresha Haya mabomu...
  15. Richard

    Tujifunze neno Kleptocracy au Kleptokrasia serikali na madhara yake kwa nchi husika

    Wakuu, habari za jumapili na bila shaka kila mwana JF kaimaliza jumapili hii tukufu huku wengine wakienda kwenye ibada, sehemu za starehe, kutembelea ndugu, jamaa na marafiki kama ilivyo kwa tamaduni na desturi zetu wenyeji huandaa maakuli na vinywaji kutukaribisha sie wageni wao. Sasa basi...
  16. The Sheriff

    TANZIA Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki dunia akiwa na miaka 47

    Peetah Morgan enzi za uhai wake Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki. Bendi hiyo imetangaza kifo cha Peetah kupitia taarifa iliyopostiwa kwenye ukurasa wao wa Instagram jana Jumapili (Februari 25). Taarifa ya bendi haikuweka wazi sababu ya...
  17. Jadda

    Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    Ndio, kuna msemo unasema "with great authority comes great responsibility" yani kila mamlaka makubwa huambatana na majukumu makubwa, lakini jambo la kushangaza ni kwamba wanaume wengi hasa wa kiafrika wanayataka hayo mamlaka tu ila majukumu hawayataki Mimi naona ifike pahala dunia iachane rasmi...
  18. Suley2019

    TANZIA Mwenyekiti wa CCM Tabora Hassan Wakasuvi afariki dunia akiwa ofisini

    Hassan Wakasuvi enzi za uhai wake Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Hassan Wakasuvi kilichotokea Leo tarehe 22 Februari, 2024 Mkoani Tabora. Chama Cha Mapinduzi kitamkumbuka...
  19. ward41

    Sehemu kubwa ya dunia hawafanyi tohara, wanatumia toilet paper, tembea uone

    Ukikaa sehemu moja, unaweza sema dunia iko hivyo. Hapana dunia haiko hivyo. Ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya dunia wanatumia toilet paper na wanaume hawafanyi tohara. Asia, Europe, America, Pacific, Australia ni mwendo wa toilet paper na wanaume wengi hawajafanya tohara. Mambo ya tohara yapo...
  20. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yawakingia Kifua Wakandarasi Wazawa Katika Utekelezaji wa Miradi ya Benki ya Dunia

    SERIKALI YAWAKINGIA KIFUA WAKANDARASI WAZAWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BENKI YA DUNIA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiomba Benki ya Dunia kupitia upya masharti ya manunuzi katika mikataba ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ili kutoa fursa kwa Wakandarasi wazawa kushiriki...
Back
Top Bottom