dunia

  1. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Dunia inapaswa kumuelewa Mchina anapokuwa anapambana na Marekani na hata kumuunga mkono

    Kama kuna jambo ambalo dunia inapaswa kujifunza ni kutoka kwenye utawala wa Trump. Jamaa anaanzisha timbwili kila kona. Nataka nigusie timbwili lake na Canada. Jamaa ana mapendekezo ya mikataba kwa Canada ambayo serikali yoyote yenye kujielewa haiwezii kuyakubali. Yani ni sawa ukaue uchumi na...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ramani Mpya ya Afrika

    🌍 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha pendekezo la Afrika la kuwa na ramani mpya ya dunia inayoonesha uhalisia wa ukubwa wa maeneo. 🟢 Waliounga mkono: 164 🔴 Waliopinga: 1 ⚪ Waliojizuia kupiga kura: 6 📅 4 Septemba 2026
  3. K

    JamiiForums Tanzania Shujaa wa Haki za Wanawake Marekani, Gloria Steinem, Aaga Dunia

    Gloria Steinem, mwanaharakati nguli wa haki za wanawake na mwandishi wa habari nchini Marekani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92 nyumbani kwake jijini New York. Kifo chake kilitokea kwa amani Alhamisi asubuhi akiwa amezungukwa na watu wake wa karibu, baada ya kutumia takriban karne...
  4. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Maisha ya dunia na kifo — Kwa nini tunakimbilia kitu ambacho hatutaki kukipoteza?

    Kuna siku moja ambayo kila mwanadamu duniani ataamka na kugundua kuwa safari yake imefika mwisho. Siku hiyo haitajali una pesa kiasi gani. Haitajali una magari mangapi. Haitajali una nyumba kubwa kiasi gani. Haitajali una followers wangapi. Haitajali umejenga jina kubwa kiasi gani...
  5. H r n

    JamiiForums Tanzania Dunia ikuchanganye na mwanamke naye akuchanganye !

    Wakuu habari ! Maisha kwa mwanaume kamwe hayajawahi kuwa rahisi in everything. Unatoka alfajiri na mapema kwenda kusaka mkate wa familia then unarudy om unakutana na makelele kutoka kwa wife 💔 haulizi umeshindaje wala habari za kazi unakutana na magic ambazo hazina msingi now ndo nakumbuka...
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Je , dunia tunayoishi ni halisi au ni ndoto ya pamoja au mfumo wa simulation?

    Niko hapa kujifunza.
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii bundiki ndio imetumika na kuuzwa zaidi Dunia na imeleta maafa ya kutisha.

  8. insane

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwisho wa dunia

    Dunia haina mwisho kwa maana kwamba siku ya kiama (heaven and hell). Dunia itaendelea kuwepo barafu zitayeyuka milima itaongezeka spishi zitakufa na nyingine kuzaliwa hata binadamu watabadilika taratibu sana kuwa kitu kingine au hata kufa kabisa kama ilivyokuwa kwa dinosaur mazingira...
  9. Supapawa

    JamiiForums Tanzania Tukiwachunga hawa 👇mabwana wawili tutaishi vizuri na Dunia itakuwa salama

    Mmoja ulimi, mwingine dushelele! 😎 Wawili hawa wala hawana mfupa lakini shughuli yao huwa ni pevu. Basi nyote nawasihi muwachunge hawa mabwana wasije wakaleta mabalaa. Ni hayo tu kwa leo.
  10. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfalme Harald V wa Norway afariki akiwa na umri wa miaka 89

    Mfalme Harald V wa Norway amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89, baada ya kulazwa hospitalini wiki iliyopita kwa matibabu ya ugonjwa nadra wa damu. Ikulu ya Oslo imesema mfalme huyo alifariki kwa amani saa 06:35 kwa saa za eneo (04:35 GMT) siku ya Ijumaa katika Hospitali ya Taifa ya Oslo...
  11. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Siri ya Utulivu na Mafanikio

    Baada ya kukua na kutambua jinsi watu wanakuwa controlled na hisia. Watu ambao hawajui kuwa less attached na kupannic. Huwa sio kwamba ni wakali au wagai gai by nature. Na pia sio watu wakali by nature, huwa ni so weak. Ila ile reaction ina wa manipulate kudhani wako sahihi. Kadri unavyo...
  12. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Wapashiwa jamii ambayo inakuwa kwa kasi sana. Na Dunia ina wapromote sana hawa watu

    Wapashiwa ni kabila au jamii ambayo kwa sasa imekua sana. Miaka ya nyuma ilikuwa ni uchafu na laana kuwa Mpashiwa. Kwa sasa unakuta wanasiasa, wanamichezo, waigizaji, wanadini, wanamuziki, watu baki ni wapashiwa. Sifa za Wapashiwa. 1. Hawana msimamo. Yaani anaweza kuwa aliumbwa mwanaume ila...
  13. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Alichosema Ali B ni ukweli kwa Dunia ya sasa

    Japo upendo ni bora kuliko kila kitu ila pesa inaweza kuvunja kila kitu. Nakumbuka hata mkoani nakotoka pesa inaweza kukufanya ukawa kama mungu mtu, kila mtu unaweza kumtuma na kumkoromea. Ukiwa na pesa makosa yako kwa wazazi watapewa wengine, iwe ni wadogo zako au kaka zako, ukiwa na pesa...
  14. Red black

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuhisi kama Dunia inazunguka kasi ya maelfu ya kilomita kwa saa?

    Kwanini hatuhisi kama Dunia inazunguka kasi ya maelfu ya kilomita kwa saa?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya hukumu ya kunyongwa Kwa Lissu kama wataamua hivyo itampa umaarufu Dunia nzima na chama chake huku ikiwachawachafua na nchi yetu ikipata aibu

    Kwa hatua aliyofukia Lisu akiachiliwa au akinyongwa Bado credits zote zinarudi kwake na chama chake maana wamechagua haki na ukweli Lakini waswahili wanasema heri nusu shari kuliko Shari kamili au heri aibu kuliko fedheha Hamna haja ya kumtumia Lisu kama kete ya kulazimisha maridhiano...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Dunia na jamii ya leo Inahitaji Kujua nini Kinachoendelea, Sio nini Kilichotokea

    Dunia Inahitaji Kujua Kinachoendelea, Sio Kilichotokea Katika ulimwengu wa teknolojia ya sasa, upatikanaji wa taarifa za moja kwa moja (live) na kwa wakati halisi bado ni changamoto. kutokana na uhaba wa teknolojia hiyo imechangia. Matukio mengi yanayoripotiwa kwa jamii kupitia vyombo vya...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kufuata mafundisho ya Yesu Kristo na kuwa Mkristo katika dunia ya sisia?

    Mafundisho makuu ya Yesu Kristo ni Upendo. 1. Kuwapenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe 2. Kuwapenda na kuwaombea maadui zako. 3. Ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine 4. Kusamehe saba mara sabini 5. Kutopenda kujikusanyia mali/ kuwa tajiri bali kusaidia masikini na wahitaji. Haya...
  18. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa mwanasayansi aliyetaka dunia nzima ipate umeme wa bure na kilichomkuta!

    Wazia dunia ambayo huna haja ya kununua LUKU, kuweka bando la umeme, wala kuvuta mawaya ya hatari juu ya paa la nyumba yako. Dunia ambayo unachomeka kifaa chako chochote hewani na kinapata umeme bila kulipia hata shilingi moja! Hili halikuwa wazo la kusadikika au sinema ya Hollywood. Lilikuwa...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama Lengo ni Kumfunga Kisha Msamaha, eti apoteze Haki zake za Kisiasa, futeni kabisa huo ujinga nyie Vilaza wa CCM !! Dunia haitokubali Kamwe

    Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa. Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya . Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga . Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!. Hili liwakae kichwani !!.
  20. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya majadiliano na Bank kuu ya Dunia (WB)

Back
Top Bottom