dunia

 1. G Sam

  TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

  Wakuu, Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Hindu Mandal baada ya kuugua kwa muda mfupi. Bwana Minyenya alikuwa miongoni mwa viongozi wa juu waliopeleka taarifa ya pelelezi mbalimbali za tuhuma wakati wa kukabidhi ripoti kuu ya PCCB ya...
 2. G Sam

  TANZIA: Katibu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, ndugu Lugano Mwafongo afariki dunia

  Katibu wa Jumuiya ya wazazi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ndugu Lugano Mwafongo amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya rufaa ya KCMC mkoani Kilimanjaro alipokimbizwa kwa matibabu. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!
 3. Terrible Teen

  Dr. Kinabo wa Avenue Health Centre Dodoma afariki dunia

  TANZIA Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
 4. S

  TANZIA: Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Pentecoste Mwananyamala jijini Dar-es-Salaam, Dkt. Nasobile Mwanjela afariki dunia

  Mchungaji kiongozi wa kanisa la Pentecoste Mwananyamaa jijini Dar es Salaam Dr.Nasobile Mwanjejele amefariki dunia.
 5. Tabutupu

  Hakuna chama duniani kinaendekeza wasiotii maazimio ya chama/ Mwenyekiti wake

  WABUNGE VIJANA JIFUNZENI KUWA WATII KWA VYAMA VYENU, HAKUNA CHAMA DUNIANI AMBACHO KINA ENDEKEZA YEYOTE AMBAYE HATII MAAZIMIO YA CHAMA HATA KAMA HAKUBALIANI NAYO. CCM NI MFANO MZURI. MUDA HUU WOTE WAPO BUNGENI KWA SABABU MWENYEKITI AU CHAMA KIMEWATAKA WAENDELEE KUWA BUNGENI PAMOJA NA KWAMBA KUNA...
 6. Tusker Bariiiidi

  TANZIA: Mkurugenzi wa ICAP Tanzania, Dkt. Fernando Morales afariki Dunia

  Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na masuala ya Afya – ICAP kutoka Chuo Kikuu cha Columbia New York, Dkt. Fernando Morales amefariki dunia Habari zaidi kukujia punde WASIFU WAKE (KWA UFUPI) Dr. Fernando Morales is ICAP’s country director in Tanzania. In this role, he...
 7. mnyalilungulu

  Anachofanya Magufuli ndicho kitakacho fanyika Dunia nzima ni suala la muda

  Japan imeongeza siku za hali ya hatari mpaka May 31 raia wake wameambiwa wakae tayari kuanza kuishi maisha na CoronaVirus. Waziri Mkuu Shinzo Abe anasema,"Nchi nzima ijitayarishe kuishi na Corona au maisha na CoronaVirus, hali ikiendelea hivi hatuta weza kuendesha maisha yetu na uchumi...
 8. G Sam

  TANZIA: Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Geita amefariki dunia jana jioni

  Uongozi wa Mahakama ya Tanzania unasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Geita Mhe. Gabriel Nimrod Kurwijila kilichotekea jana jioni tarehe 3/5/2020 katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu.
 9. dingimtoto

  TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

  Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu. Mchungaji Mitimingi alizaliwa mwaka 1975. Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG kama mchungaji msaidizi na baadaye kuanzisha huduma...
 10. G Sam

  TANZIA: Meneja wa Aga Khan Outreach Services, Fayyaz Mohammedtaqi afariki dunia

  Fayazz ambaye alikuwa Mkuu wa Aga Khan Outreach services amefariki dunia mapema usiku wa kuamkia leo. Fayazz ni mfamasia kitaaluma. Kliniki zote za Dar za Aga Khan (ukiacha main Hospital) ndio alikuwa anaongoza.
 11. Roving Journalist

  TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

  Rais Magufuli anatangaza kifo cha Waziri wake wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga aliyefariki leo alfajiri Mei 01, Jijini Dodoma Taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema Waziri huyo aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake na alifikishwa hospitalini akiwa tayari ameshafariki dunia...
 12. manchoso

  Magufuli yupo sahihi sana kuhusu corona

  Ndugu zangu kwanza niwape pole waathirika wote na wafiwa wa ugonjwa wa corona ndo mapito tuwe na imani corona itaondoka, ila itaondoka pale tu sisi binadamu tutakapokuwa wanyenyekevu mbele ya Mungu Hii corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa sababu sisi wanadamu ni washenzi tumezidi maasi na...
 13. W

  Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

  Waziri wa Tamisemi amesisitiza watanzania waanze kujifukiza kama namna ya kujenga kinga katika kupambana na corona. Ili jambo liwe na ufanisi amependekeza kuwe na wiki ya nyungu kwa maana ya wiki ya kujifukiza. Kama ambavyo mh Rais alipendekeza hivi karibuni. Amesema...
 14. D

  Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

  Akiwa na miaka 67. Veteran Bollywood actor Rishi Kapoor has died in hospital after a two-year battle with leukemia, his family representative confirmed in a statement. He was 67. Kapoor, who was diagnosed with cancer in 2018 and returned to India last September following treatment in New...
 15. Influenza

  Muigizaji wa Kihindi aliyeigiza filamu ya Slumdog Millionaire, Irrfan Khan afariki dunia

  Muigizaji huyo maarufu kutoka tasnia ya filamu za Kihindi (Bollywood) aliyetamba katika filamu za 'Slumdog Millionaire' na 'Jurassic World' amefariki mapema leo akiwa na miaka 53 Alikuwa muigizaji anayependwa na kuheshimika sana, wengi wakisema ni mwigizaji wenye kipaji kikubwa. Mwongoza filamu...
 16. B

  TANZIA: MKUU WA IDARA YA UHAMIAJI MKOANI KAGERA AFARIKI DUNIA -

  TANZIA: MKUU WA IDARA YA UHAMIAJI MKOANI KAGERA AFARIKI DUNIA - Mkuu wa Uhamiaji mkoani Kagera Pendo Butenghe, amefariki usiku wa kuamkia leo, Aprili 29 katika Kliniki ya COSAD kutokana na maradhi ya Shinikizo la Damu na Kisukari - Aidha, inadaiwa marehemu alianza kutumia dawa za kienyeji...
 17. G Sam

  TANZIA: Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera, Pendo Butenghe afariki dunia

  Imeripotiwa muda mfupi uliopita kuwa Pendo Butenghe ambaye ni Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi. Akithibitisha kifo hicho, Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka...
 18. G Sam

  Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

  Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani. Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana. Serikali ya Rais John Magufuli...
 19. Analogia Malenga

  Aliyekuwa Afisa Elimu Arusha afariki dunia na kuzikwa na Serikali

  Aliyekuwa afisa elimu Arusha! Ndugu ndiyo wamemaliza kuona amezikwa na serikali Pumzika mwalimu
 20. MSAGA SUMU

  Mdogo wake Edward Lowassa, Bernard Lowassa afariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitali ya Aga Khan

  Lowassa amepoteza mdogo wake anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa usiku wa kuamkia leo hii kwenye hospitali ya Agha Khan. Mungu ampumzishe mahali salama na aipatie nguvu familia ya marehemu. AMEZIKWA TAREHE 29/04/2020
Top Bottom