dunia

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani: Dozi ya kuongeza makalio yasababisha kifo kwa mgonjwa

    Donna Francis amekiri mashtaka ya mauaji yaliyotokana na uzembe baada ya kumfanya upasuaji mwanamke (34) ambaye alienda kwake kwa ajili ya tiba ya kuongeza makalio Donna ambaye hana leseni ya kufanya shughuli za kitabibu alikuwa akifanya upasuaji wa kuongeza maumbile kwa mwanamke huyo mnamo...
  2. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Tuje kwenye elimu ya dunia, unapelekwa kwa mganga Kariakoo, mganga anaendesha Vitz amevaa raba mtoni

    Jamani pamoja na kuwa maendeleo sasa watu wameadvance lakini hii habari ya kwenda kwa mganga Kariakoo, kwanza unajua kodi ya Kariakoo ilivyo ghali, mganga anaendesha Vitz lazima safari yako ilipie mafuta. Mganga anakutuma ulete kilo mbili za mchele, nazi mbili na jogoo mweupe usafishwe nyota...
  3. Bess

    JamiiForums Tanzania Dunia kuwa na Serikali moja?

    Ni pale nchi zenye majeshi na vifaa hatari mfano; Marekani na Russia wakianza kushirikiana kijeshi na kila mmoja kutooona tishio kwa mwenzake ujue wakati wa serikali moja umefika. Ni pale UN itakapokuwa na jeshi lake, lenye kupokea order kutoka baraza moja la kijeshi ujue dakika za kutawaliwa...
  4. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Binti Aolewa na wanaume wawili Mapacha!

    Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake. Sasa swali ni kuwa atawamudu wote kwa mpigo katika yale mambo yetu, au watapangiana zamu kama zile za mume mwenye mke zaidi...
Back
Top Bottom