chunusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kutokufanya tendo la ndoa Kwa muda mrefu husababisha kutokwa na chunusi?

    Baada ya kufatilia mitandao tofauti tofauti ya kijamii nimekutana na madai kuwa kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu husababisha kutokwa na chunusi. je, kuna uhusiano gani kati ya chunusi na kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu?
  2. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Piga collagen ifute chunusi na ikupe glow ya ukweli kutoka ndani!"

    Piga collagen ifute chunusi na ikupe glow ya ukweli kutoka ndani!
  3. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania Chunusi inatokana/inasabishwa na nini? Inatibiwa/inaondolewa na nini?

    Ndio madokta, mnijuze na mnieleze, chunusi inatokana na nini kwa mwanaume? Na inaondolewa vipi au na dawa gani? Pia, nitajilinda/nitajikinga vipi, ili nisipatwe na chunusi? Au nifanye nini ili nisipatwe na chunusi Madoktari na wote mnaoweza kunisaidia, mnisaidie.
  4. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Darasa Maalum Kwa Wanawake Wote Wenye Kusumbuliwa Na Chunusi Sugu

    Je Wewe Ni Mwanamke Unaesumbuliwa Na Chunusi Sugu Kwa Muda Mrefu Uso Wako Umeharibika Kwa Chunusi Kubwa Na Ndogo Na Zinakufanya Ukose Kujiamini Kusimama Mbele Za Watu.... Si Hivyo Tu Pia Umefanya Mabaka Na Madoa Kiasi Cha Uso Kukosa Nuru ... Vile Vile Uso Una Mafuta Mengi Na Umefanya Vitundu...
  5. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Jitibu chunusi kirahisi sana ukiwa nyumbani kwa gharama nafuu kuanzia tsh. 100/-

    Chunusi na majipu ni matokeo ya maambukizi ya ndani, usawa wa homoni, au sumu ya ndani, ambayo husababisha kuvimba kwa follicles ya nywele na, kwa acne, tezi za sebaceous. Wanapaswa kutibiwa juu ya uso wa ngozi na ndani. Chunusi kwa ujumla hutokea wakati wa ujana na kusababisha vipele vyeupe...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Chunusi na vipele vinanisumbua .

    Hellow wanajf. Mimi ni Mzee wa miaka 29 Sasa. Jinsia ni Me. Nimekuwa nikisumbuliwa na chunusi usoni Kwa miaka nenda Rudi. Nimechoka nataka kuwa ka wenzangu Uso safi. Nakosa kujiamini ninapotaka kuwatokea mabibi zenu sometime. So nataka mafuta ya kuondoa hali hii ambavyo si ya kuchubua na kuwa...
  7. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani ya kupaka(Tube)inayosaidia kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo hutengeneza utando mweupe.

    Habarini jamani.. Naomba kufahamishwa tube nzuri (dawa ya kupaka) usoni ambayo inaweza kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo yanapelekea kutengeneza utando(ugaliugali) mweupe kwa ndani. Kama umewahi kukutanana hizi chunusi/mashimo mwenzangu ulipona kwa dawa gani..?
  8. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Naomba mapendekezo ya mafuta mazuri yasiyoleta chunusi na marashi mazuri kwa ajili ya mke wangu

    Mmeamkaje wana jukwaa? Moja kwa moja kwenye mjadala wetu hapo. Nataka mnunulia baby mama mafuta mazuri sambamba na unyunyu kama zawadi. Naombeni ushauri wa aina nzuri ya package upande huo. Natanguliza shukrani.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kufanya Mapenzi mara kwa mara kunasaidia kuifanya ngozi ya mwanamke iwe nyororo na isiwe na chunusi?

    Hivi ni kweli kuwa kwa mwanamke kufanya mapenzi mara kwa mara kunamsaidia kuondoa chunusi na kuifanya ngozi yake kuwa nyororo na yenye mng'aro angavu? Kuna uelewa wa kitaa kuwa sex inamsaidia sana mwanamke kutokua na chunusi. Na hata wanawake ambao wanajulikana hawafanyi sex mara kwa mara...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utoaji mimba usio salama ni chunusi anayeendelea kunywa damu za mabinti zetu

    Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO visa vya utoaji mimba takribani milioni 25 hutokea kila mwaka kote duniani, huku nusu ya visa hivyo ambavyo hukadiriwa kama milioni 12 pekee hutolewa kwa njia salama na nusu yake hutolewa kwa njia isiyo salama. Utoaji huo wa mimba usio salama kote...
  11. ragin

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mdudu chunusi wa usoni?

    Pitapita zangu mitandaoni nikakutana na hiki kitu kuwa huyu ndiye mdudu anayekuwepo usoni na kusababisha chunusi hizi tuzionazo baada ya balehe👇 Wanasema unapobinya chunusi hutokea weupe ule weupe unakuwa umetoka kwa huyo mdudu yaani umemfinya yeye na damu yake ndo inaachia mabakabaka usoni...
  12. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kuongea na binti anayekua

    Damu ni nzito kuliko maji leo nimeumia sana. Kuna Kaka yangu aliachana na mkewe kitambo sana mtoto akiwa na 2 yrs, yule Mama akamuacha mtoto. Mtoto kalelewa na baba yake since then Wala bro hajaoa tena masikini sijui alipigwa tukio gani. Changamoto binti amekuwa ana 12 yrs sasa, nyumbani kwao...
  13. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Chunusi zinasumbua sana msaada wenu wakuu

    Nimetumia dawa za aina nyingi na hizi tube zinapungua kidogo zen zinarudi sasa hivi ndio zimeongezeka msaada wenu hapo wakuu tiba ipi ni nzuri.
  14. Optimistic_

    JamiiForums Tanzania Mafuta kuondoa chunusi na kung'arisha uso

    Habari wakuu naombeni mnijuze mafuta ambayo yatamsaidia mwanamke kuondoa. 1. Chunusi usoni 2. Kung'arisha uso (isiwe kumchubua) 3. Pia kumuondolea mafuta mafuta usoni 4. Kumfanya awe soft soft hivi
Back
Top Bottom