Ushauri: Naomba mapendekezo ya mafuta mazuri yasiyoleta chunusi na marashi mazuri kwa ajili ya mke wangu

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Apr 30, 2018
2,022
2,592
Mmeamkaje wana jukwaa?

Moja kwa moja kwenye mjadala wetu hapo.

Nataka mnunulia baby mama mafuta mazuri sambamba na unyunyu kama zawadi. Naombeni ushauri wa aina nzuri ya package upande huo.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom