Simanzi na majonzi kutoka kwa wazazi, walimu na wanafunzi wa St Lucky Vincent katika kumbukumbu ya ajali iliyouwa watoto 32, walimu wawili na dereva mmoja mnamo Mei 6 2017.
Mamia ya watu walihudhuria katika ajali hiyo iliyo tokea mei 6,2017 katika wilaya ya Karatu mkoani Arusha ambayo iliibua...
Takriban watu 23 wamefariki dunia baada ya sehemu ya barabara ya juu kuporomoka na kupelekea treni ya abiria kuanguka katika barabara ya chini iliyokuwa na watu wengi wakati wa jioni siku ya Jumatatu.
Waokoaji walilazimika kushikilia kwa kreni sehemu ya treni hiyo iliyokuwa imebaki ikining’inia...
Asanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa.
Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa...
Moshi, Same. Watu 10 wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Kirinjiko Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo jioni Jumanne Aprili 13, 2021 baada ya gari aina ya Toyota Alphard kugongana uso kwa uso na gari jingine aina ya Toyota...
Wameanza fensii zile za waya kila siku zinadondoshwa, sijajua next itakuwa ni nini.
Naomba vyombo vya ulinzi wafuatilie isijekuwa ni hujuma za wazi wazi.
Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii.
Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang.
=====
MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA!
1. Mwambieni CAG...
Watu 15 wameripotiwa kufariki dunia nchini Kenya baada ya mabasi mawili kugongana maeneo ya Kizingo katika barabara Kuu ya Malindi kwenda Mombasa. Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Malindi
Kamishna Kutswa Olaka wa Kilifi amesema basi la Muhsin lilipoteza uelekeo na kuligonga gari la Sabaki...
Ukimpa mtu ufunguo wa gari, mtu asiyejua kuendesha gari na kisha umwambie aendeshe gari unadhani nini kitatokea? Ni dhahiri kwamba itatokea ajali, tena ajali mbaya, itakayomdhuru yeye mwenyewe na walio karibu na yeye na chombo chenyewe.
Mtu ambaye hajui kuendesha gari na anataka kuendesha gari...
Dunia inazidi kusonga mbele kwa kasi. Japo wanadamu wa kiafrika tupo kama tumesimama huku tu kutazama mwendo wa dunia.
Sina shaka kwamba ajali za pikipikiHii ndio zinaongoza kwa kusababisha vifo vingi Afrika. Kuna teknolojia inakuja itaweza kupunguza vifo teknolojia hii ndio itaweza kuzuia...
Hii ni kwa mujibu wa ITV .
Taarifa zaidi zitawajia ....
UPDATE
Mhudumu wa ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hamis Machenga amefariki dunia baada ya msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kupata ajali nje kidogo ya mji wa Zanzibar na watu kadhaa wamejeruhiwa.
Taarifa zinasema kwamba ajali hiyo imetokea mjini California , huku dereva akiwa yeye mwenyewe ambapo ndani ya gari hilo alikuwa peke yake .
Huenda akafanyiwa upasuaji .
======
Bingwa mara 15 wa mchezo wa gofu, Tiger Woods amepata ajali ya gari Los Angeles na anafanyiwa upausaji kufuatia...
Habari za jioni wakuu
Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali..
Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
Salaam Wakuu,
Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.
Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake...
Ajali ya Treni imetokea Vingunguti ikihusisha lori lililokuwa limebeba sukari lenye namba za usajili T 278 DQS na treni ya abiria.
- Treni haikuwa na abiria.
Chanzo: Azam TV
Utanuaji wa magari ya Serikali sasa yameanza kusababisha maafa.
Leo jioni gari Kilimo Kwanza la Jaji mmoja, pale Mwenge limesababisa ajali na kupelekea daladala lililouwa linamkwepa huyo mkubwa kugonga wajenzi wa barabara Mwenge-Morocco.
Vijana kadhaa wajenzi wamegongwa na kukimbizwa...
Taarifa ya ajali Manyoni, Singida.
Jamani hii ajali mbaya nimeishuhudia nipo kwenye Nyehunge ya Mwanza kuja Morogoro mjini duuhh mbaya sana imehusisha fuso moja hivi nayo tairi za mbele zote zimechomoka ndio chanzo cha ajali hii.
=====
Mkurugenzi wa Tarime Mjini amepata Ajali mbaya sana maeneo...
Sriwijaya Air,Ndege ya abiria ya Indonesia ambayo iliripotiwa kupoteza mawasiliano mda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Jakarta,imeanguka ikiwa na abiria 62, Wizara ya usafirishaji ya Nchi ya Indonesia imethibitisha.
Mashuhuda wanasema wameiona Ndege ikilipuka karibu na Kisiwa cha...
Vifo ajali barabarani vyapungua 25%
Vifo vinavyotokana na ajali za barabarani mkoani Morogoro vimepungua kutoka 90 mwaka 2019 hadi 57 mwaka jana, sawa na asilimia 25.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu, alisema jana kuwa vifo hivyo vimepungua kutokana na elimu inayoendelea...
Hii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe.
Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Standard Operatinal Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu...
Nimepigiwa simu na mpwa wangu ambaye ni miongoni mwa abiria walionusurikana, kuwa treni iliyokuwa ikitoka Dar - Kigoma imepata ajali kilometa chache kutoka stesheni ya Dodoma.
Inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na inadaiwa watu 3 wamepoteza maisha.
Naomba wahusika wafuatilie.
======...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.