Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.
Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine...
Treni mbili za abiria zimegongana nchini Pakistan mapema siku ya Jumatatu na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30, huku wengine zaidi ya 100 wakijeruhiwa.
Treni moja, Millat Express ilitoka nje ya reli kabla ya kugongwa na treni nyingine, Sir Sayed Express. Haijafahamika mara moja...
Kupitia taarifa ya habari ITV wameonekana abiria waliopata ajali ya basi la Classic kutokea Kampala kuja Dar es Salaam wakielezea namna ajali hiyo ilivyotokea.
Majeruhi wote waliohojiwa ni Wazanzibar na abiria watatu waliofariki ni Wazanzibar.
Naibu waziri wa mambo ya ndani ambaye ni Mzanzibar...
Watu 3 wanadaiwa kufariki na wengine 34 wakijeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Classic lililokuwa likitokea Kampala kuelekea Dar kupata ajali eneo la Buyubi Shinyanga.
Baadhi ya majeruhi kwenye ajali hiyo wamesema kuwa dereva wa basi hilo alishindwa kuimudu kona ya Didia.
Watu watatu...
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga yuko salama kufuatia ajali ya Chopa iliyotokea katika Kaunti ya Siaya Jumapili jioni. Chopa hiyo ilikuwa imemsafirisha kutoka Kisumu hadi Gem katika Kaunti ya Siaya ilipoanguka.
Taarifa kutoka kwa Msemaji wake Dennis Onyango ilisema Chopa ilianguka...
Msanii Emmanuel Eribariki Munis (Nay wa Mitego), amepata ajali ya bodaboda wakati anawahi kwenye Interview.
Kwa sasa msanii huyo yupo katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni akipatiwa matibabu na hali yake bado haiko vizuri.
Inaelezwa alipanda bodaboda ili kuwahi kipindi baada kukwama kwenye...
Ilikuwa Februari, 6, 1958, Timu ya Manchester United ilikuwa ikitokea Belgrade, kucheza na timu ya Red Star. Manchester ilikuwa chini ya Kocha Matt Busby; wachezaji wake walijulikana kama "Busby Babes".
Sare ya 3-3 waliyoipata kwenye mchezo huo iliifanya Manchester United kutinga nusu fainali...
TANROADS tafadhalini rekebisheni hizo taa. Karibu wiki sasa naona taa zinaruhusu huku na huku kwa wakati mmoja. Naweka picha inayoonesha gari kutoka Agakhan hospital zimeruhusiwa huku gari zinatoka selander kuingia upanga nazo zimeruhusiwa.
Eleven crew and officers aboard a Nigerian military plane were killed Friday when it crashed in northwestern Kaduna state, according to media reports.
The dead included army chief Lieut. Gen. Ibrahim Attahiru.
The air force said in a statement that its plane crashed near Kaduna airport and...
Hii ni historia ya maisha aliyopitia David tangu 2007 alipopata changamoto na namna alivyopambana mpaka kufika alipofika leo hii. Stori hii David anasema ina nia ya kuwapa nguvu wote ambao leo hii wapo kitandani wanapambana na maumivu ya jeraha la uti wa mgongo na pengine wameshaanza kukata...
Simanzi na majonzi kutoka kwa wazazi, walimu na wanafunzi wa St Lucky Vincent katika kumbukumbu ya ajali iliyouwa watoto 32, walimu wawili na dereva mmoja mnamo Mei 6 2017.
Mamia ya watu walihudhuria katika ajali hiyo iliyo tokea mei 6,2017 katika wilaya ya Karatu mkoani Arusha ambayo iliibua...
Takriban watu 23 wamefariki dunia baada ya sehemu ya barabara ya juu kuporomoka na kupelekea treni ya abiria kuanguka katika barabara ya chini iliyokuwa na watu wengi wakati wa jioni siku ya Jumatatu.
Waokoaji walilazimika kushikilia kwa kreni sehemu ya treni hiyo iliyokuwa imebaki ikining’inia...
Asanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa.
Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa...
Moshi, Same. Watu 10 wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Kirinjiko Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo jioni Jumanne Aprili 13, 2021 baada ya gari aina ya Toyota Alphard kugongana uso kwa uso na gari jingine aina ya Toyota...
Wameanza fensii zile za waya kila siku zinadondoshwa, sijajua next itakuwa ni nini.
Naomba vyombo vya ulinzi wafuatilie isijekuwa ni hujuma za wazi wazi.
Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii.
Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang.
=====
MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA!
1. Mwambieni CAG...
Watu 15 wameripotiwa kufariki dunia nchini Kenya baada ya mabasi mawili kugongana maeneo ya Kizingo katika barabara Kuu ya Malindi kwenda Mombasa. Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Malindi
Kamishna Kutswa Olaka wa Kilifi amesema basi la Muhsin lilipoteza uelekeo na kuligonga gari la Sabaki...
Ukimpa mtu ufunguo wa gari, mtu asiyejua kuendesha gari na kisha umwambie aendeshe gari unadhani nini kitatokea? Ni dhahiri kwamba itatokea ajali, tena ajali mbaya, itakayomdhuru yeye mwenyewe na walio karibu na yeye na chombo chenyewe.
Mtu ambaye hajui kuendesha gari na anataka kuendesha gari...
Dunia inazidi kusonga mbele kwa kasi. Japo wanadamu wa kiafrika tupo kama tumesimama huku tu kutazama mwendo wa dunia.
Sina shaka kwamba ajali za pikipikiHii ndio zinaongoza kwa kusababisha vifo vingi Afrika. Kuna teknolojia inakuja itaweza kupunguza vifo teknolojia hii ndio itaweza kuzuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.