Indonesia: Ndege aina ya Boeing 737 jet iliyokuwa na watu 62 yapata ajali na kupotelea ndani ya bahari

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
1610199974155.png

Sriwijaya Air,Ndege ya abiria ya Indonesia ambayo iliripotiwa kupoteza mawasiliano mda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Jakarta,imeanguka ikiwa na abiria 62, Wizara ya usafirishaji ya Nchi ya Indonesia imethibitisha.

Mashuhuda wanasema wameiona Ndege ikilipuka karibu na Kisiwa cha Pulau Laki nchini Indonesia.

Ndege hiyo ya SJ182 Boeing 737-500 inatajwa kuwa na miaka 26.

1610200095535.png

Zaidi soma:
A Boeing 737 passenger jet with 62 people onboard has disappeared over the sea after plummeting 10,000 feet shortly following takeoff from Jakarta.

The Sriwijaya Air plane took off from Soekarno-Hatta international airport on Saturday at 1.56pm for a 90-minute flight over the Java Sea between Jakarta and Pontianak in West Kalimantan - Indonesia's section of Borneo island.

But at 2.40pm - just four minutes after takeoff - the Boeing B737-500 plane plunged nearly 11,000 feet in less than 60 seconds to an altitude of just 250 feet before vanishing.

There are feared to be 62 people on the 26-year-old plane, including 56 passengers - seven of whom are children and three are babies - as well as two pilots and four cabin crew.

And families are now fearing the worst after rescuers looking for flight SJ182 say they have discovered suspected metal debris in the ocean north of the capital.

The missing plane is an older model than the Boeing 737 MAX jet involved in two earlier fatal crashes - including the Indonesian Lion Air crash in 2018 which killed 189.

UPDATE
Authorities said they determined the location of the crash site and black boxes of a Boeing 737-500 on Sunday, a day after the aircraft crashed into the Java Sea with 62 people on board shortly after taking off from Indonesia’s capital.

The head of Indonesia’s National Search and Rescue Agency, Bagus Puruhito, said officials believe they identified the location of the flight data recorder and cockpit voice recorder — the so-called black boxes — because emergency signals transmitted by the devices were detected by a navy ship’s sonar system.

“We have determined the position of the plane’s black boxes from two signals emitted by the devices,” military chief Hadi Tjahjanto said. “Hopefully we can lift the black boxes in short time to determine the cause of the crash.”

Earlier Sunday, search and rescue operations resulted in parts of the plane being found in the sea at a depth of 23 meters (75 feet), leading rescuers to continue searching the area.

“We received reports from the diver team that the visibility in the water is good and clear, allowing the discovery of some parts of the plane,” Tjahjanto said in a statement. “We are sure that is the point where the plane crashed.”

He said the objects found included broken pieces of fuselage with aircraft registration parts.

Earlier, rescuers pulled out body parts, pieces of children’s clothing and scraps of metal from the surface.

The break in the search for Sriwijaya Air Flight 182 came after the navy ship’s sonar equipment detected a signal from the aircraft at a location that fit the coordinates from the last contact made by the pilots before the plane disappeared Saturday afternoon, Tjahjanto said.

The plane was en route from Jakarta to Pontianak, the capital of West Kalimantan province on Indonesia’s Borneo island, on a flight that was expected to take around 90 minutes.

It was still unclear what caused it to crash. There was no sign of survivors.
 
Ndege iliyokuwa na abiria zaidi ya 62 imepotea na haijulikani ilipo, muda mfupi baada ya kuruka kutoka Jakarta, mji mkuu wa Indonesia.

Ndege hiyo aina ya Boeing 737 ya shirika la sriwijaya ilipoteza mawasiliano ikiwa safarini kuelekea pontianak katika mkoa wa Kalimantan magharibi.

Maafisa wa anga wa nchi hiyo wamesema tovuti ya ufuatiliaji wa ndege Flightradar24.com imebainisha kuwa ndege hiyo imepotea zaidi ya mita 3,000 kwa urefu chini ya dakika ambazo ni sawa na futi 10,000
 
Where is Malaysian Airline iliyopoteaga kitambo!??? Putin ni mona, he is really ^putting things in^
 
Ndo maana naogopa kupanda ndege
Ndege zipo captains Europe hawana mzaha wakiona chochote hatari safari inavunjwa hakuna longolongo.

Kuna siku tumekaa hewani Zurich swissair masaa mawili ndege inapigwa upepo hatari, Airport hawataki tutue tumeranda huko juu mpk basi na ilikua sio rahisi badae ndo wakasema teremsha chombo.

Mi nshachelewa kila kitu Walililpa😎.
 
Wanataka wamuangushie lawama bobi
Ndege zipo captains Europe hawana mzaha wakiona chochote hatari safari inavunjwa hakuna longolongo.
Kuna siku tumekaa hewani Zurich swissair masaa mawili ndege inapigwa upepo hatari, Airport hawataki tutue tumeranda huko juu mpk basi na ilikua sio rahisi badae ndo wakasema teremsha chombo.
Mi nshachelewa kila kitu Walililpa😎.

Lakin hii ndege wanasema imehudumu.miaka 26


Na haikuwahi kufanyiwa service miaka 26
 
Back
Top Bottom