ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Chiwaso

    JamiiForums Tanzania Barua ya kutoa taarifa ya ajali kwa kampuni za Bima

    Kama inavyoelezea hapo juu, Uwe na ama Comprehensive au Third part Insuarance, ama umegonga au umegongwa, kutoa taarifa kwa haraka Kwa Kampuni ya Bima ni jambo la msingi sana. Mfano wa Barua hiyo, ni kama hii niliyokuambatanishia. Unaweza kufuatilia jambo lako wewe mwenyewe, au ukatumia...
  2. benja

    JamiiForums Tanzania Ajali ni nyingi Barabara ya Morogoro Dar es Salaam

    Nawasalimu Serikali ya Awamu ya Tano Chini ya Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufulu inajitahidi sana kujenga miundombinu nchini ikiwemo barabara. Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuelezea ajali ambazo nimekuwa nikizishuhudia katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam hususan kuanzia Kimara...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene amwagiza IGP kuwapangia kazi nyingine matrafiki wenye vitambi. Je, ni kosa askari kuwa na kitambi?

    Waziri Simbachawene amemwagiza IGP kuwaondoa trafiki wote wenye vitambi na kuwapangia kazi nyingine. Najiuliza, ipo sheria inayokataza trafiki kuwa na kitambi? Shughuli ya utrafiki Ni ngumu kuliko majukumu ya OCD, OCS na RPC? Natamani awamulike pia hao, ila pia tofauti na utrafiki kazi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kama hofu inaua, wangapi walikufa kwa hofu baada ya ajali mbaya ya lori la mafuta Msamvu-Morogoro?

    Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu wa kizazi hiki anaweza kukimbilia ajali ya lori likiangua liwe na maji, mafuta ya taa, diesel au petrol aliyeshuhudia iwe kupitia Tv au kwa macho eneo la ajali mbaya ya lori la mafuta iliyotokea Msamvi Moro. Hii ni kwa sababu ya hofu ya kuwaona binadamu...
  5. MBITIYAZA

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

    Mpaka leo huwa naikumbuka Jumamosi ile niliopata ajali.Kiufupi nilipanda pikipiki bahati mbaya hakuwa ameiwasha na tuko kwenye mteremko mkali,dereva nikamuuliza nini hiyo maana nilisikia ilivyokata break hakunijibu. Pikipiki ilikuwa kwenye mwendo balaa,baada ya dk kama 2 dereva akaanza kupiga...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene aamuru Mkandarasi kukamatwa kutokana na uzembe uliopelekea vifo vya watatu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameamuru kukamatwa kwa Mkandarasi wa kampuni ya Nangonga, baada ya kuzembea kuweka alama ya ujenzi barabarani na kusababisha ajali mbili tofauti na vifo vya watu watatu jijini Dodoma. Mkandarasi huyo anasimamia kuweka viraka katika eneo la...
  7. kimbendengu

    JamiiForums Tanzania Pwani: Ajali ya Magari imeua Watu 21 na wengine 15 kujeruhiwa. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Kuna tetesi kuwa kuna ajali imetokea huko mkoani Pwani wilaya ya Mkuranga, Gari ya kampuni ya Dangote imegongana uso kwa uso na gari aina ya Costa. Sent from my itel S32 using Tapatalk ===== Watu 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ukipata ajali na basi la abiria lazima ulipwe na Bima kama ni majeruhi

    Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe vifuatavyo 1.TIKETI YA SAFARI. 2.CHETI CHA MATIBABU YA HOSPITALI. 3. FOMU YA POLISI (PF 3). 4. MCHANGANUO WA GARAMA ALIZOINGIA. 5. PF 90. 6. PF115 7. TIKETI YAKE kama bado anayo...
  9. Saharavoice

    JamiiForums Tanzania Ajali basi na Lori babarabara ya Igunga Shelui

    Kuna ajali ya basi la MJS Safaris na Lori Semi trela yamegongana uso kwa uso na kuna vifo na majeruhi pia. Mvua inanyesha sana maeneo haya. ====== Singida: Ajali ya Basi Kampuni ya MJS na Lori la Mizigo Kampuni ya Azam, imetokea leo Sherui na kusababisha majeruhi 6. Sababu ya ajali ni Lori...
  10. polokwane

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Ajali mbaya yatokea kwenye daraja la Kiyegea, watu watano wafariki dunia

    Inasemekena daraja lililokatika wilaya ya Kilosa eneo la Kiyegea jioni hii kuna ajali mbaya kati ya lori la sementi na noah ya abiria iliyokuwa inaelekea Gairo Inasemekana baada ya lori kuvuka daraja na kuanza kupandisha kimlima cha daraja ika-fail brake noah nayo ilikuwa nyuma ndio...
  11. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Mbuge wa CHADEMA, Catherine Ruge apata ajali asubuhi ya leo akitokea Dar

    Mbunge wa CHADEMA na Mhazini wa Bawacha Mhe Catherine Ruge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chadema Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani. ======= Mbunge Catherine Ruge (CHADEMA) ambaye pia ni Mhazini wa...
  12. dubu

    JamiiForums Tanzania Lindi: Watu saba wafariki kwenye ajali ya barabarani, Hiace imegongana na Lori

    Watu saba wamefariki dunia papo hapo baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana uso kwa uso na Lori la kampuni ya Dangote katika kijiji cha Mavuji, wilayani Kilwa mkoani Lindi. Inasemakana gari dogo aina ya Noah, abiria wake walikuwa wanatokea Arusha wakielekea Mtwara kwenye Ujenzi...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wako kwenye hatari ya kupata ajali za barabarani zinazochangiwa na uendeshaji wa bodaboda na bajaj

    Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), watoto kuanzia miaka mitano hadi 29, wako katika hatari zaidi kutokana na vijana kujikita katika uendeshaji wa bodaboda na bajaji. Pia takwimu za WHO zinaonyesha chanzo cha vifo namba nane duniani kinatokana na ajali za barabarani...
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu katika nchi zinazoendelea kila sekunde 15 mfanyakazi mmoja hupoteza maisha kutokana na ajali au magonjwa yatokanayo na kazi?

    Suala la Usalama na Afya mahali pa kazi ni muhimu kuangaliwa kwa makini tunakoelekea kwenye uchumi wa kati unaoongozwa na viwanda ili kuokoa maisha ya wengi. Shirika la kazi Duniani (ILO) limeonesha kuwa kila sekunde 15 mfanyakazi mmoja hupoteza maisha na ndani ya saa 24 wafanyakazi 5760...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Njombe: Askari 3 wafariki na wengine 9 kujeruhiwa katika ajali

    Askari 3 wa Jeshi la Polisi mkoani Njombe wamefariki dunia na wengine 9 kujeruhiwa baada ya gari la polisi kugongana na basi la abiria la Sharon linalofanya safari zake Njombe-Arusha. Tukio hilo limetokea leo Februari 3, saa 12 asubuhi. Njombe. Polisi watatu wamekufa na wengine tisa kujeruhiwa...
  16. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hii ajali ya kwa Mwamposa vyombo vya usalama haviwajibiki?

    Kwanza niwape pole wahanga wote wa ajali ya jana moshi mjini. Pili niseme kuwa jukumu kubwa usalama wa eneo lile lilikuwa la Mwamposa na waandaaji wa ile shughuli. Lakini najiuliza iwapo vyombo vya usalama (hasa polisi) hawakuwa na jukumu lolote kuhakikisha lile eneo ni salama? Mtu anapoenda...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Lagos yapiga marufuku matumizi ya bajaji ili kuzuia ajali na matukio ya uhalifu

    Kutokana na kuongezeka kwa ajali na matukio ya kihalifu, Lagos mji mkuu wa kibiashara na mji mkuu wa zamani wa Nigeria umepiga marufuku matumizi ya Bajaji. Katika taarifa iliyotolewa na serikali ya Lagos imearifiwa kwamba matumizi ya Bajaji ambazo huko zinafamika kwa jina maarufu la “keke”...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Moto wa nyika Australia: Wamarekani watatu wafariki dunia katika ajali ya ndege wakiwa katika harakati za kuzima moto

    Ndege inayotoa msaada kwa kuzima moto kwa kutumia maji dhidi ya moto wa nyika Januari 10, 2020 huko Penrose, New South Wales, Australia. Ndege iliyokuwa ikitoa msaada wa kuzima moto kwa kutumia maji kwa minajili ya kukabiliana na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tungekufa ajali mbaya sana kitaifa daraja walipokufa Wajapan pale Moshi kwa ajili ya trafiki kupafanya mradi wa taifa wa kutolea faini!

    Ni sehemu iko katika barabara ya Moshi kwenda Arusha. Kuna bonde kubwa na daraja na huko nyuma Wajapan walikufa kwa ajali mbaya na hata pamejengwa mnara wa kumbukumbu kwa ajili yao. Kutokana na uwepo wa daraja hili na bonde pamefanywa kuwa sehemu ambayo huruhusiwi ku-overtake na sasa trafiki...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Iran: Nchi zilizopoteza raia katika ajali ya ndege zadai fidia

    Mataifa yaliyopoteza raia katika ajali ya ndege ya Ukraine iliyodunguliwa na Iran yameitaka Tehran iwajibike kikamilifu, uchunguzi wa kimataifa uanzishwe na familia za wahanga zilipwe fidia. Mawaziri wa mambo ya nje wa Canada, Uingereza, Ukraine, Sweden, Uholanzi na Afghanistan wamekutana...
Back
Top Bottom