Nilipata ajali na Mungu akaninusuru

Mar 3, 2018
75
799
Asanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa.

Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa barabarani gari likiwa linatembea.

Nimepata shida Sana. Mungu amesema niendelee kuwepo kuwepo kwanza. Nadhani nimepata nafasi ya kurekebisha makosa yangu hapa Duniani
IMG_20210410_074715_595_1618423870230.jpg
IMG_20210414_221333_005.jpg

IMG_20210414_221333_389.jpg
 
Pole sana ndugu dah, kuwa makini kwenye kutimiza majuku yako, ni kweli ulisimamia haki bila kuwa na tahadhari kubwa maana ulimwengu huu usio na haki kupata haki ni kazi ngumu sana
 
Pole sana mkuu.
"if you can't find something to live for, you best find something to die for" Afeni Shakur words to Tupac, Tupac mother.
It should be more than War to achieve mkuu
 
Pole sana ndugu dah, kuwa makini kwenye kutimiza majuku yako, ni kweli ulisimamia haki bila kuwa na tahadhari kubwa maana ulimwengu huu usio na haki kupata haki ni kazi ngumu sana

Ukipata wasaa hebu tulia utupe kisa vizuri
 
sory wewe police...

na pole sana Mungu akuponye
Sio Polisi huyu, alikua mgombea ubunge Jimbo la Buyungu kupitia Chadema,akajiunga CCM na akapewa cheo cha kiserikali kama sio hata/wilaya huko Simiyu nadhani. Kuna nyuzi zake humu
Duuh pole sana mkuu.
Story yako bado ina walakini mwingi.
By the way si uliunga mkono juhudi?nini kimetokea huko CCM
Ndo alipounga mkono juhudi alipewa cheo cha kuwa WEO nadhani sijui(sikumbuki vizuri) na huko ndo alianza kuhitilafiana na hao wahujumu uchumi na ndo hao wamemtenda haya
 
Back
Top Bottom