Ajali ya lori na treni ya abiria Buguruni

Sam Gidori

Senior Member
Sep 7, 2020
165
414
Ajali ya Treni imetokea Vingunguti ikihusisha lori lililokuwa limebeba sukari lenye namba za usajili T 278 DQS na treni ya abiria.

- Treni haikuwa na abiria.

Chanzo: Azam TV

photo_2021-02-01_10-01-36.jpg
 
Dereva wa lori amepona kweli, au treni ilikuwa bado haijapata kasi?
 
... hilo lori/semi urefu wake wote ni fupi kuliko kichwa/engine ya hilo train. Hata liwe fully loaded (50 tons) bado ni jepesi kuliko just single engine ya train. Kila mbabe ana mbabe wake.
50 tons! hiyo lori itatembea ktk barabara gani?
 
Back
Top Bottom