hata Mimi nimeliona hiloWameanza fensii zile za waya kila siku zinadondoshwa, sijajua next itakuwa ni nini.
Naomba vyombo vya ulinzi wafuatilie isijekuwa ni hujuma za wazi wazi.
Dah hii ilikwa kitu yangu, niende pahala nikute hawana sikai. Nimestaafu.
Sehem zinapogongewa hizo nyavu huwezi amini kama kweli ni gari imegonga...Hujuma anafanya nani sasa wakati magari yanayogonga yanapata damage pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepita nimeona kona ile ya kukata kuelekea External... Lakini bado mradi haujakabidhiwa hivyo bado uko kwenye uangalizi wa mjenziSehem zinapogongewa hizo nyavu huwezi amini kama kweli ni gari imegonga...
Kabla ya kona kuna sehemu ya nyuma pia imelazwaNimepita nimeona kona ile ya kukata kuelekea External... Lakini bado mradi haujakabidhiwa hivyo bado uko kwenye uangalizi wa mjenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wabongo aisee..
Tumejaaliwa hasa kwa kupanga majungu na vitu. Kwann unakimbilia kuwaza kuwa ni hujuma? Pahujumiwe ili iweje?
Kile kipande ajali haziepukiki maana waendesha magari wengi si madereva na ni mbumbumbu wa sheria za barabarani n ile interchange inawachanganya sana..Kabla ya kona kuna sehemu ya nyuma pia imelazwa