Kenya: Ajali ya mabasi yaua 15

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Watu 15 wameripotiwa kufariki dunia nchini Kenya baada ya mabasi mawili kugongana maeneo ya Kizingo katika barabara Kuu ya Malindi kwenda Mombasa. Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Malindi

Kamishna Kutswa Olaka wa Kilifi amesema basi la Muhsin lilipoteza uelekeo na kuligonga gari la Sabaki lililokuwa likitokea Malindi

===
Fifteen people were on Wednesday morning killed after two buses collided head-on at Kizingo area on the Malindi-Mombasa highway.
The accident involved a Sabaki Travellers Sacco matatu from Malindi and a Gede-bound Muhsin bus.

According to Kilifi County Commissioner Kutswa Olaka, the Muhsin bus lost control following a tyre burst, leading to the collision.

Witnesses further told Citizen Digital that among those who lost their lives in the crash included Kilifi County officers who were headed to work.
Those injured have since been taken to the Malindi sub-county hospital.
 
Back
Top Bottom