ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu ACT, Ado Shaibu apata ajali

    Bwana Ado Shaibu amepata ajali huko Tunduru muda mfupi uliopita. Yupo salama na amekimbizwa hospitali Chanzo Facebook account ya gazeti la habari leo === Katibu Mkuu wa...
  2. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgombea wa CHADEMA Jimbo la Igunga apata ajali akiwa kalewa Chakaliii

    Mpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

    Tunapokea habari kuwa mgombea mwenza wa CHADEMA ndugu Salum Mwalim amepata ajali ya gari nadhani maeneo ya Msalala ==== Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Msalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama. Kwenye gari...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa Tsh 250,000 kama ubani kwa kila familia ya mtoto aliyefariki kwenye shule ya waislamu Byamungu

    Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera. Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando. Maendeleo hayana vyama!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Polepole atangaza CCM kusimamia matibabu ya Wasanii waliopata ajali

    Chama cha Mapinduzi kimesema kuwa kinafuatilia kwa ukaribu na kuhakikisha wasanii watatu ambao ni Luludiva, Belle9 na Bonge la Nyau ambao wamepata ajali hii leo wakati wakitokea mkoani Iringa wanapata matibabu haraka. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho. Humphrey Polepole kupitia ukurasa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CCM yapokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya ya Wasanii Belle 9 na Bonge la Nyau, yawatakia uponyaji wa haraka!

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kimepokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya iliyowahusisha Wasanii Belle 9 na Bonge la nyau. Polepole amewatakia uponyaji wa haraka na kwamba chama kinafuatilia kwa karibu tukio na chanzo cha ajali hiyo. Source Ayo tv Maendeleo hayana vyama! ===...
  7. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugunduzi wangu utaookoa abiria wasife ktk ajali hasa kwenye magari yenye bonet 'pua' kama VX V8, Land Cruiser za Polisi na kadhalika

    Ajali nyingi zitokeazo watu wamekuwa wakipoteza maisha hasa ktk magari yenye bonet 'pua'Kama niliyoyataja hapo juu.sasa nini kifanyike kuepusha ajali? Inabidi kati ya bonet na anapokaa dereva ziwepo spring ngumu za vyuma zile za mzunguko zinazoweza kubonyea ikitokea mgongano zisizopungua kumi...
  8. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Filamu Kulwa Kikumba maarufu kama 'Dude' apata ajali

  9. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Basi la kampuni ya Ally's lateketea kwa Moto

    Basi la kampuni ya Ally's linalofanya safari zake kati ya Dar na Mwanza lateketea kwa Moto wakati linakaribia Dodoma Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Ajali: Mwendokasi lagonga bodaboda na kumuua Tip Top

    Ajali imetokea muda huu. Ni katika stand ya mwendokasi Tip Top manzese. Ajali huyo ilihusisha bodaboda na gari ya mwendokasi. Taarifa kutoka eneo la tukio ni kwamba bodaboda alikatisha kwenye zebra ya mwendokasi akiwa anaendesha ili kuhamia. Gari la mwendokasi likakosa break na kumgonga...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro, watu kadhaa wabanwa na gari la mizigo

    Watu kadhaa wamebanwa ndani ya gari ndogo aina ya costa baada ya gari kubwa la mizigo kuliangukia gari hilo Ajali hiyo imetokea maeneo ya Nanenane Morogoro, Polisi wanaendelea kuokoa walioathiriwa na ajali hiyo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Wilbroad Mutafungwa amesema kuwa jumla ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Husna Mwambiko wa UVCCM aliyegombea Ubunge asema anaamini hajarogwa ila amepata ajali ya kisiasa

    Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Husna Mwambiko aliyeshindwa kujieleza kwenye kura za maoni za ubunge anasema anaamini tukio lile halikutokana na kurogwa au uchawi bali ni ajali ya kisiasa. Husna amesema yeye ana tatizo la kigugumizi na ndio kilichomtokea ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano na Udhibiti wa Ajali za Barabara I: Semeni Ninyi

    Wanajamvi, salaam. Moja ya Jambo muhimu na la lazima ni serikali kuhakikisha inawalinda raia wake kwa gharama yoyote ile. Moja ya sababu kubwa ya vifo nchini Tanzania ni vile vitokanavyo na ajali za barabarani. Aidha ajali hizo zimesababisha ulemavu na kuongeza idadi ya mayatima nchini kwetu...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Gari la mtangaza nia wa CCM, Enock Bwigane lapata ajali. Dereva aaga dunia

    NDUGU yangu NAJUA hunijui Omba Salii funga sanaa UKIONA vita imeanza hivi MDA WA kujifunga mkanda na Mungu ama upande WA pili asimame NA wewe mpaka MWISHO WA kampeni POLENI sana wafiwa pole sana kaka ERICK kwa kuhairbikiwa GARI Aliefariki ni dereva wake === Gari ya Mtangazaji wa TBC Enock...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge Rungwe kwa tiketi ya CCM Enock Bwigane wa TBC amekanusha kupata ajali

    Mtangazaji wa michezo TBC ambaye anagombea ubunge jimbo la Rungwe mkoani Mbeya amekanusha taarifa zinazoenea kwamba amepata ajali mbaya. Bwigane amesema wakati ajali inatokea hakuwa ndani ya gari ila dereva amefariki. Source Swahili Times Rip dereva wa Bwigane. Maendeleo hayana vyama
  16. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Serikali yetu, hatimaye ajali za mabasi zimeisha

    Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa Rais wetu John Pombe Magufuli kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendokasi wa mabasi yaendayo mikoani, kwa kumulika vitochi na kuratibu muda wa kuondoka na kufika na sasa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Vibanda vilivyowekwa pembezoni mwa barabara ya Morogoro jirani na kituo cha Polisi Urafiki, mbele ya ofisi za Shabiby Line, vitakuja kusababisha ajali

    Ukiwa hapa urafiki karibu na kituo cha Polisi, mbele ya ofisi za mabasi ya SHABIBY line, Kuna vibanda vimepangwa barabarani na wafanyabiashara, Hali inayopelekea sisi madereva kukosa njia ya kupita kwa usalama na kunusurika Mara kadhaa kuvigonga vikiwa na wafanyabiashara ndani. Mwanzo sisi...
  18. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Yapo mambo wanasiasa husitiriana. Mfano ni ajali iliyomuumiza mguu ndugu Mbowe

    Kwa kweli kwa hilo la mguu wa Mbowe linafikirisha mno! Ukweli ni kwamba wana siasa ni binadamu kama wengine na huamua pia kusitiriana kwa mambo kadha wa kadha ambayo kwao ni ya aibu. Mfano: Kuumia kwa mguu wa ndugu Mbowe ni wazi vyombo vya dola vimeaswa na kuelekezwa viachane nalo kwa sababu...
  19. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi 2020: Ili abiria wasife katika ajali ya ndege basi watengeneze viti vya kufyatuka kama marubani wa ndege vita

    Nimeliwaza wazo hili kwa kina na kuona kuwa ikiwa ndege vita marubani hupona itokeapo ajali kwa kufyatuka na kiti basi ni possible ndege za abiria kuwa na mfumo huo ila wazingatie mwavuli uwe na uwezo wa kuelea katika maji.na pia wapitishe watumishi wa ndege codes maalumu kabla ya kufyatua ikiwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ajali Hii imegeuka kuwa jambo lingine kabisa

    Leo nlikuwa na Jeep mitaa flani town.nikawa na mambo yangu mengi kichwani maana next week natakiwa kwenda Canada na Norway sasa sijajua protokali zake kwa sasa. Nmeangalia kwenye Calendar ndo naona hiyo Issue. Nikiwa sina hili wala lile kumbe kwenye zebra kuna jamaa alikuwa anaendesha VW yake...
Back
Top Bottom