Search results

  1. Mdau jf

    Msaada: Kupata HESLB Loan Statement

    Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa. Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie NATANGULIZA SHUKURANI
  2. Mdau jf

    Msaada wa haraka: Nimevimba korodani

    Amani iwe nanyi, Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana Doctors naombeni msaada wenu.
  3. Mdau jf

    Ushauri: Anataka akafanye kazi za ndani (house girl) Uturuki

    Wasalaam Wana jf Kuna binamu yangu mkoa X ameniomba ushauri, kwamba amepata mchongo wa kwenda nchini UTURUKI kufanya kazi za ndani. Nami kwakua sina experience na mambo hayo nikaona ni Bora nilete kwenu mnaweza Kua na ABC's za kumuambia, ili nimfikishie na iwe hiari kwake kwenda ama...
  4. Mdau jf

    Naomba kufahamu juu ya hili kwenye simu za XIAOMI

    Kama bango linavyosema Wajuzi naomba mnifahamishe juu ya hizi simu za xiaomi ambazo ni chinese version, zinasuport huduma za google? Na je zinautofauti gani mkubwa na zile za global version?
  5. Mdau jf

    MSAADA: Kwa hiki kibajeti changu napata simu gani nzuri?

    Nina 500k mfuko wa shati hapa, naomba kufahamu ni simu gani nzuri ninaweza kupata Kati ya Hizo brand mbili. XIAOMI na SAMSUNG NOTE; yenye uwezo mkubwa wa kukaa na chaji ( Betri capacity kubwa)
  6. Mdau jf

    Ushauri wenu waja wa Mungu kuhusu ndoa

    Asalaam aleykum... Tumsifu yesu kristo... Mwana kondoo ameshinda... Ama baada ya salamu Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 24 ni Mwajiriwa wa Selikari (Mtumishi wa Umma). Nimekuja kwenu kuomba ushari kwa umri wangu huu wa miaka 24 ni umri sahihi wa kuingia kwenye ndoa Yaani naweza kuoa...
  7. Mdau jf

    Naomba kufahamu dawa ya kuzuia NDEVU kuota haraka

    Bandugu nina wahi sana kuota ndevu na masharubu(timba) yaani nikinyoa hazipi siku tano yashajaa tena haswa haswa hizi timba ndiyo kero kabisa. Nikisema nikae mwezi bila kunyoa unaweza sema muisrael. Kwa yeyote anaye fahamu dawa ya kuzuia ndevu kuota kwa haraka ama kuzuia zisiote kabisa...
  8. Mdau jf

    Ulishawahi kutafuta kitu huku umekishika mkononi?

    Hivi hiyo situation ilishawahi kukukuta? Je ulijionaje baada ya kugundua kua unacho kitafuta kwa muda mrefu nusu utoe chozi, umekishika mkononi'. Nakumbuka nilishawahi tafuta funguo nusu saa nzima kidogo niite fundi aje avunje kufuli, kumbe ufunguo nilikua nimening'niza kwenye kidole cha...
  9. Mdau jf

    Tunawarudishia Morrison + Ajibu wa nyongeza, tuachieni Chama chetu

    Chonde chonde GSM, Eng Hersi na wana uto wote, tuachieni Chama wetu kama kisasi ni Morrison sisi tutawarudishia na tutawapa Ajibu kama nyongeza. Kinachoendelea huko Istagram kinatuumiza sisi mashabiki. Boss MO tafadhali ingilia kati hili suala.
  10. Mdau jf

    Kwanini watangazaji na wachambuzi wengi wa mpira ni Yanga?

    Kwa research niliyo ifanya mtandaoni hususani instagram, pamoja na radion (kupitia vipindi vya michezo) nimegundua watangazaji na wachambuzi wa mpira wengi wao ni YANGA. mf. pale wasafi sports Arena wote wale ni jangwani, EFM ukiondoa Ibrahim Maestro walio baki wote ni yanga, CLOUDS ndiyo...
Back
Top Bottom