MSAADA: Kwa hiki kibajeti changu napata simu gani nzuri?

Mdau jf

Senior Member
Joined
Sep 10, 2020
Posts
189
Reaction score
323
Nina 500k mfuko wa shati hapa, naomba kufahamu ni simu gani nzuri ninaweza kupata Kati ya Hizo brand mbili. XIAOMI na SAMSUNG

NOTE; yenye uwezo mkubwa wa kukaa na chaji ( Betri capacity kubwa)
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nina 500k mfuko wa shati hapa, naomba kufahamu ni simu gani nzuri ninaweza kupata Kati ya Hizo brand mbili. XIAOMI na SAMSUNG

NOTE; yenye uwezo mkubwa wa kukaa na chaji ( Betri capacity kubwa)
Ongeza 80k upate redmi note pro ya 128/6GB
Screenshot_20211216-130627_AliExpress.jpg
 
Nina 500k mfuko wa shati hapa, naomba kufahamu ni simu gani nzuri ninaweza kupata Kati ya Hizo brand mbili. XIAOMI na SAMSUNG

NOTE; yenye uwezo mkubwa wa kukaa na chaji ( Betri capacity kubwa)
Ongeza 90k upate Samung S10+
 
Back
Top Bottom