Ushauri wenu waja wa Mungu kuhusu ndoa

Mdau jf

Senior Member
Sep 10, 2020
182
312
Asalaam aleykum...
Tumsifu yesu kristo...
Mwana kondoo ameshinda...

Ama baada ya salamu

Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 24 ni Mwajiriwa wa Selikari (Mtumishi wa Umma).

Nimekuja kwenu kuomba ushari kwa umri wangu huu wa miaka 24 ni umri sahihi wa kuingia kwenye ndoa

Yaani naweza kuoa kwa sasa?

NB: Sina mahusiano na mwanamke yeyote kwasasa
 
Vuta chombo weka ndani, miaka 24 mtu mzima wewe unajua mema na mabaya.. ila uwe na uhakika wa kula na kumtunza mke
 
Asalaam aleykum...
Tumsifu yesu kristo...
Mwana kondoo ameshinda...

Ama baada ya salamu

Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 24 ni mwajiriwa wa selikari (mtumishi wa uma).

Nimekuja kwenu kuomba ushari kwa umri wangu huu wa miaka 24 ni umri sahihi wa kuingia kwenye ndoa

Yaani naweza kuoa kwa sasa?

NB: sina mahusiano na mwanamke yeyote kwasasa
Oa ule mema ya Dunia ingali ukiwa kijana/nguvu.

Pata watoto ukiwa bado una nguvu ili uweze kuwahudia vizuri. Sio unastaafu halafu bado watoto wanakutegemea. Staafu ukiwa unawategemea watoto wako.

Chance uliyonayo wewe niliikosa mimi, wewe usiichezee.

NB: Hakikisha ugali mboga mboga upo kabla ya kutekeleza ushauri wangu
 
Kama huna mahusiano kwa sasa, hebu kuwa nayo kwanza ndo uweze kujipima…. ndoa ni kwa wenye akili pekee.
 
Oa ule mema ya Dunia ingali ukiwa kijana/nguvu.

Pata watoto ukiwa bado una nguvu ili uweze kuwahudia vizuri. Sio unastaafu halafu bado watoto wanakutegemea. Staafu ukiwa unawategemea watoto wako.

Chance uliyonayo wewe niliikosa mimi, wewe usiichezee.

NB: Hakikisha ugali mboga mboga upo kabla ya kutekeleza ushauri wangu
fuata ushauri huu utashukuru miaka 10 ijayo.. Isiwe, Ushauri anaopewa mtoto wa damu unafanyiwa kazi na mtoto wa kambo.
 
Back
Top Bottom