Ulipata au Bado?Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa.
Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie
NATANGULIZA SHUKURANI
Website yao wameibadilisha hivi karibuni, Hii mpya ina changamoto sana hakuna sehemu utaweza kupata loan statement kama ilivyokuwa zamani.Duh.. em ingia kwa Website yao joo..
Nimesahau tangu nimalizane nao.. i used to login...
Mkuu huvi inawezekana kuwalipa deni lao at once au kwa awamu chache.Duh.. em ingia kwa Website yao joo..
Nimesahau tangu nimalizane nao.. i used to login...
Kabisa. Wsiliana naoMkuu huvi inawezekana kuwalipa deni lao at once au kwa awamu chache.
Eg nimepata kibunda toka kwa kanji nikaamuakulipa hata nusu