Mdau jf
Senior Member
- Sep 10, 2020
- 189
- 323
Hivi hiyo situation ilishawahi kukukuta?
Je ulijionaje baada ya kugundua kua unacho kitafuta kwa muda mrefu nusu utoe chozi, umekishika mkononi'.
Nakumbuka nilishawahi tafuta funguo nusu saa nzima kidogo niite fundi aje avunje kufuli, kumbe ufunguo nilikua nimening'niza kwenye kidole cha mwisho.
Ebwanaeee haka nako huwaga nikaujinga fulani.