Search results

  1. Priscallia

    Msaada: Nahisi mdogo wetu wa kike kaongopa kuwa yupo field ila nahisi huenda kafungiwa na Mwanaume huko mkoani

    Kama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja hapo juu kozi ya “Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management (BDHRPM). Sasa jumamosi...
  2. Priscallia

    History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

    EAC Heads of State OFFICIALLY admit the Democratic Republic of the Congo (DRC) into the East African Community. H.E Uhuru Kenyatta,Chair of the Summit of EAC Heads of States announces during the 19th Extra-Ordinary Summit of EAC Heads of State. === Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya...
  3. Priscallia

    Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

    Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja. Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine. Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila...
  4. Priscallia

    Hii imekaaje kwa mpenzi anayekupa kiasi fulani cha pesa halafu ndani ya siku mbili anaomba 75% ya pesa aliyokupa

    Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu...
  5. Priscallia

    Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

    Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje. Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti...
  6. Priscallia

    Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

    First, let me declare kwamba mimi ni member wa muda mrefu humu JamiiForums na nimependa kuja nah hii ID mpya ili kuweza kuficha utambulisho wangu wa hapo mwanzo, ili kuepeuka mambo kadhaa kutoka kwa member ambao nimebahatika kuonana/kukutana nao. Naitwa Priscallia (si jina langu halisi) na umri...
  7. Priscallia

    Hivi nyie Wanaume mpewe nini mridhike? Wanawake wenzangu kuna la kujifunza kwa hili tukio la Ebitoke

    Yaani unakuta Mwanaume unampikia, unamfulia, unamuogesha na mapenzi unampa kama yote. Lakini sasa hizo dharau wanazotuletea hadi unatamani kulia. Ndio maana mimi mwenzenu natoka na Wanaume wanaojielewa sio hao wenye njaa njaa za hovyo kama hao wasanii wa huko nyumbani Tanzania. Like, serious...
  8. Priscallia

    Nimeamua kujiunga na JamiiForums naomba ukaribisho wenu

    Habari wana JF, Naitwa Priscallia natokea Dar. Nimeamua kujiunga na JamiiForums ili kupata maarifa na kuongeza wigo wa marafiki. Naombeni mnipokee
Back
Top Bottom