jumuiya ya afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM na IUCEA zaimarisha ushirikiano katika mpango wa kimkakati wa ufadhili wa masomo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo tarehe 17 Juni 2026, kimepokea ujumbe kutoka Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki (IUCEA) uliolenga kujadili ushirikiano katika utekelezaji wa Mpango wa Ufadhili wa Masomo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Scholarship Programme). Ujumbe huo uliongozwa na...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kambarage, Fatma Na Chumi Waapa Rasmi Kuwa Wabunge Wa Bunge La Jumuiya Ya Afrika Mashariki

    Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopigiwa kura hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao ni Ndugu Kambarage Wasira, Fatma Kange na Cosato Chumi, wameapa leo 01 Juni 2026 wakati wa kikao cha Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuanza shughuli...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Stephen Mbundi, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Aprili, 2026.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Angela Kizigha, James Millya na Ng'waru Magembe wanapaswa kujiuzulu ubunge EALA Kuepusha kuendelea kuvunja mkataba wa Jumuiya

    Kwa mujibu wa ibara ya 50(1) ya Mkataba unaoanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki kila nchi mwanachama wa Jumuiya zinapaswa kuchagua wawakilishi tisa kwenda kuwa wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kwa upande wa Tanzania utaratibu wa kuwapata wawakilishi hawa kwa kiasi kikubwa unafanana na...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aapishwa kuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    MKUTANO WA MAALUM (KIKAO CHA 3) WA BUNGE LA TANO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EALA) TAREHE 16 MACHI 2026 Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limemuapisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) kuwa Mbunge katika Bunge hilo tarehe...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Stephen Mbundi Ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    MTANZANIA ACHAGULIWA KUWA KATIBU MKUU MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI. Balozi Stephen Patrick Mbundi Ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Stephen Patrick Mbundi ni mwanadiplomasia mwandamizi wa Tanzania na kiongozi wa serikali mwenye uzoefu wa zaidi ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa (EAC)

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mudavadi: Tanzania iko sahihi kulinda Utaifa wake, Jumuiya ya Afrika Mashariki siyo Taifa ni Mwamvuli tu

    Naona pongezi zinatoka kila mahali baada ya serikali kuyafurusha magenge ya wahuni waliodhani Tanzania ni shamba la bibi. Pia soma > Pre GE2025 - Serikali ya Kenya yajitenga na sakata la Martha Karua kuzuiwa kuingia Tanzania --- MKUU wa Mawaziri, Musalia Mudavadi ametetea matamshi ya Rais wa...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

    Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya. Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Daraja hili litakuwa na urefu wa mita 525 na linatarajiwa kuwa daraja la sita kwa urefu nchini Tanzania.
  12. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania MAONI: Jumuiya ya Afrika Mashariki kuiwekea Rwanda vikwazo vya kidiplomasia na uchumi

    Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC. Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kujiunga kwa DRC na Jumuiya ya Afrika Mashariki: Je, Kumechangia Unyang’anyi wa M23?

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ilijiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mwaka 2022 kwa matumaini ya kukuza uchumi, kuimarisha ushirikiano wa kikanda, na kupata msaada wa kijeshi dhidi ya waasi. Hata hivyo, tangu kujiunga kwake, hali ya usalama mashariki mwa DRC imezidi kuzorota...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki imzuie Kagame kunywa damu ya wakongo, na kula nyama zao katika vita ya Mashariki mwa Kongo

    Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki. N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
  15. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo kwenye mpango wa 2025 wa internet ya StarLink ya Elon Musk; zipo nchi mbili za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji. Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa nchi wanachama hawatimizi hoja za kimuungano 100%. Sababu ni nini?

    Niwasalim kwa jina la (J.M.T) ktk umoja huu wa E.A.C Kuna hoja nyingi za KIMUUNGANO mfano: DHIMA YA KUUNGANISHA NCHI WANACHAMA UHURU WA KIBIASHARA ISIYO NA MIPAKA. * Tumeona nchi WANACHAMA Wana zuia bidhaa nchi moja kwenda nyingine sababu wanazotoa Ni Kama mpaka uwe na kibali maalum * Mfano...
  17. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya William achaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais William Ruto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir. Tangazo hilo lilitolewa Jumamosi, Novemba 30, kufuatia uchaguzi uliofanywa na Wakuu wa Nchi kutoka nchi saba wanachama, zikiwemo Kenya, Uganda...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya miaka 25 ya jumuiya ya afrika mashariki (EAC)

    Nguvu ya Watu Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa ina mataifa 7 na idadi ya watu zaidi ya milioni 312, ikiwa ni zaidi ya 20% ya watu wa Afrika. Umoja huu ni chachu ya maendeleo yetu. #EACat25, #EACBorderless #OnePeopleOneDestiny #SamiaSuluhuHassan
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni Awapa Shule ya Historia Viongozi wa EAC. Awasimulia zaidi ya miaka 1,000 ya Ushirikiano wa Kibiashara wa Nchi za Afrika Mashariki

    Rais Yoweri Museveni akitoa somo zito la historia Novemba 29, 2024. Katika hotuba yake ya kihistoria, Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, jana tarehe 29 Novemba, 2024 katika kusherehekea Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), aliwapa viongozi wa Jumuiya hiyo somo la kina kuhusu...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), leo tarehe 29 Novemba, 2024. https://www.youtube.com/live/yR5TbO9BaMk?si=AvOdwHUNK5W1i9G0 VERONICA MUENI NDUVA, KATIBU MKUU - JUMUIYA YA AFRIKA...
Back
Top Bottom