Hivi nyie Wanaume mpewe nini mridhike? Wanawake wenzangu kuna la kujifunza kwa hili tukio la Ebitoke

Priscallia

JF-Expert Member
Nov 9, 2019
495
2,427
Yaani unakuta Mwanaume unampikia, unamfulia, unamuogesha na mapenzi unampa kama yote. Lakini sasa hizo dharau wanazotuletea hadi unatamani kulia. Ndio maana mimi mwenzenu natoka na Wanaume wanaojielewa sio hao wenye njaa njaa za hovyo kama hao wasanii wa huko nyumbani Tanzania.

Like, serious Mwanamke unaejielewa unapata guts za kutoka/kudate na Wasanii, tena Wasanii wenyewe hawa wa Tanzania njaa zinawasumbua kweli kutwa nzima kutembea wamepaka poda huko mtaani kumbe nyuma ya pazia wanafugwa na sugar ladies na sugar dadies

Ndio maana niko zangu nimetulia na Professa wa Chuo Kikuu, mtoto nadakezwa mpaka basi hapa na mpango kabla sijambwaga nahikisha kwanza nishajenga ndio namwachia au hata ikatokea ameniacha safi tu maana hadi sasa nimehudumiwa vya kutosha

Na sisi Wanawake jamani tuache tamaa kuna Wanaume wengi tu huko uraiani wana pesa zao na mapenzi ya kweli, maisha ya kudate na Wasanii kisa tu upate umaaraufu huo ni ujinga na ilikuwa zamani sasa hivi tunaangalia Mwanaume atakuwezesha vipi, mwenzenu hapa nimetafutiwa Chuo huku nje ya nchi naongeza elimu, Mwanume kama huyo unaanzaje kumuacha kwa mfano.

Tujaribu kubadilika jamani. Maisha ya kuonekana kwenye social media ilikuwa zamani sio sasa, lol
 
Na mimi nimekuona Baharia hilo li Culture lenye Marangirangi mkono wa kushoto naliomba. Umemechisha ila na hiyo Red trousers
We mwenyewe hapo nishakuona udhaifu wako... Nakuhakikishia ukikutana na Mimi hunichomolei hata kidogo nikiwa kama mwenyekiti wa mabaharia nimegundua hata wewe hujui unataka nini
 
Back
Top Bottom