Search results

  1. Libya

    Wazee walioanzisha vuguvugu la kusaka Uhuru

    Kutoka kulia waliosimama: 1. Abdallah Shomari (Tandamti no. 3) 2. Nassoro kalumbanya (simba str.) 3. Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo str.) 4. Mtoro Ally (Muhonda str.) 5. John Rupia (Misheni kota) 6. Julius Nyerere( Pugu Sekondari) 7. Said Chaurembo (Congo/ Mkunguni str.) 8. Jumbe Tambaza...
  2. Libya

    Jiji la Dar es Salaama - Dar es Salaam Tanzania historia yake na Uislam

    Kabla ya mwaka 1868, Jiji linalofahamika kwa jina la Dar es Salaam, halikuwepo kabisa. Badala yake kulikuwa na mji ulioundwa na miji mitatu maarufu, ambayo ni Kunduchi, Mbwamaji na Tindwa. Kila mji ulijitegemea, huku idadi ya wakazi wake wote kwa jumla haikuzidi watu 2,000. Kati ya miji hiyo...
  3. Libya

    Kuna ukweli wowote kati ya kuwahi kuamka na kupata mafanikio

    [emoji3514]Tabia 1- Kuwahi kuamka* Utafiti uliofanyika na Mr Thomas ulibaini kuwa asilimia 75 ya mabilionea wanaamka saa 11 alfajiri. Si hivyo tu hata tajiri wa kwanza Tanzania, Mo Dewj alipohojiwa alisema anaamka kila siku saa 11 alfajiri. Kuna faida nyingi sana unazipata unapokuwa unawahi...
  4. Libya

    Tathmini ya awali ya Royal Tour yathibitisha kuwa Tanzania ndiye mwenye utalii Afrika

    [emoji778] Abiria kutoka Nje waongezeka kwa asilimia 106 [emoji778] Mashirika Makubwa Emirates, Qatar yaongeza safari. Emirates ndege 7 kwa wiki, Qatar ndege 15 kwa wiki [emoji778] Dege kubwa la Eurowings kuleta watalii 600 kila wiki kuanzia Frankfurt Mpaka kia kuanzia tarehe 4 June [emoji778]...
  5. Libya

    Barua ya Wazi kwa wanaume wote

    [emoji187]BARUA YA WAZI KWA WANAUME WOTE. Wanaume wapendwa, Ukitaka kufanikiwa maishani, sio lazima uingie kwenye kila SHIMO unaloliona. Mashimo mengine ni mitego iliyokufa. Mashimo mengine ni waharibifu wa hatima, waharibifu wa biashara na waharibifu wa maisha. Ndugu yangu, usitii Erection...
  6. Libya

    Uume unatoa usaha wenyewe tu unatiririka!

    JF DOCTORS: wakuu nini tiba ya ugonjwa huu! Uume unatoa usaha wenyewe tu unatiririka! Uume kuuma na kuwasha kwa ndani: ni ugonjwa gani na nini tiba yake
  7. Libya

    Tupeana Location za Night club na viwanja na maeneo yenye Pisi Kali weekend hii

    Kama mada isemavyo! Tupeane Location za watoto wa mzuri karibu na maeneo ya chuo, Night clubs na viwanja mbalimbali! It's weekend on the way
  8. Libya

    Alikiba ft Barnaba - Cheketua video Out

    Mamamamaa! Nyie! Nyimbo Nzuri Sana ipo huko YouTube ya Barnaba Keep watching good music
  9. Libya

    Msimu wa Zabibu: Kwa anayehitaji zabibu kwa biashara

    Msimu wa zabibu Sasa umewadia kutoka makao makuu ya nchi Dodoma.Jipatie zabibu kwa Bei nafuu kutoka Dodoma. Kwa mahitaji ya zabibu kwa ajiri ya biashara tupigie kwa namba 0716175081 Dar es salaam. Kwa Bei nafuu kabisa ya shambani. Zabibu zote ambazo Zina vimbegu(seed) na ambazo hazina vimbegu(...
  10. Libya

    Tatizo la uoga na uthubutu kwa vijana; nini kifanyike?

    Habarini za Mei Mosi! Maslai bora, mishahara juu, kazi iendelee. Wimbi kubwa la vijana especially tuliopoteza takribani miaka 20 shule mpaka chuo. Wengi wetu ni waoga na kuthubutu katika Mambo mbalimbali ya kufanya ilikuweza kujinyanyua kiuchumi. Nini kifanyike! Je, tubadili mindset zetu au...
  11. Libya

    Msaada kwenye Jambo hili

    Nina mpenzi wangu tunaenda vzr kabisa lakini shida ni kwamba simu yake nikimpigia jioni na usiku naambiwa ni hakikishe namba ya mteja ninayopiga hii inatokana na network au ameniblock. Wenye kujua hili! Ilinijipange mapema nikae upande wangu
  12. Libya

    UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
  13. Libya

    Tafakuri Baada ya Mazishi ya Hayati Magufuli

    Kutoka Chato hadi Mwanza Distance yake ni 78.65 mi (126.58 km). Driving route: 148.32 mi (238.70 km). Mwendo wa saa ambazo sio zaidi ya 5 unakuwa umefika Mwanza ukitokea Chato. Ukipita Bwanga, Katoro, Geita, Kasamwa na Usagara unaingia Mwanza kuitafuta ilipo Airport. Mishale ya saa 2 usiku...
  14. Libya

    Jinsi ya kutongoza katika Zama hizi

    Usimtumie meseji za userious sanaa Kama vile, mambo?"habri ya usiku"? Umelala??? Umekula?? Una mpenzi?? Unasoma?? Unafanya kazi? Unaishi kwenu ??aumepanga??? wee mtoto wangapi?? Miaka yako??? N.k Hizi manzi huwa hazipendi maswali maswali ,kiuhalisia binadam hapendi maswali. Nakupa mbinu...
  15. Libya

    Singah ft Alikiba - somebody

    Dah ebhana sio poa. Naona King.kiba ameamua awe serious Sasa na mziki maana sio poa na hizi back to back songs Somebody is the one of the best song / best collabo of the month
  16. Libya

    Dalili za Mwanamke akikuchoka

    Well, Mawasiliano kupungua hana time na wewe Kama vile ulivozoea Anakukwepa kuonana na wewe Hakuhitaji kimwili kama anae mwengine anampatia Hajisumbui kutamani kuonana naww ( hakwambii muonane hata kutoka) Hana ile vibe ya kukusaidia hata kwa vitu vidogo tu ambavyo ww ni rahisi kumfanyia...
  17. Libya

    Dhana pana ya umasikini katika Jamii yetu

    Copy and paste Kama utakumbuka maneno ya baba wa taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, kuwa miongoni mwa maadui wa kuwapiga vita usiku na mchana na kuhakikisha wametokomea basi UMASIKINI ni nambari one. Sababu umasikini ukitapakaa kwenye jamii utatengeneza njia kwa mambo mengi sana mbaya...
  18. Libya

    Naombeni Ushauri: Mahusiano na kifedha

    Habari za Jioni Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 24 nimeajiriwa Serikalini Nina mwaka mmoja katika taasisi kubwa hapa Dar es salaam. Changamoto kubwa ninayoipata kutokana na malezi yangu sio mtu wa kujichanganya Sana na watu! Nimekua mtu wa kazini then nyumbani weekend nashinda tu ndani...
  19. Libya

    Alikiba ft Dj sbu - nakupenda

Back
Top Bottom