Msaada kwenye Jambo hili

Libya

JF-Expert Member
Nov 11, 2016
754
1,000
Nina mpenzi wangu tunaenda vzr kabisa lakini shida ni kwamba simu yake nikimpigia jioni na usiku naambiwa ni hakikishe namba ya mteja ninayopiga hii inatokana na network au ameniblock.

Wenye kujua hili! Ilinijipange mapema nikae upande wangu
 
Apr 24, 2021
26
75
Huu ushauri unahusu simu ya mpenzi wake kutokupatikan asubuhu na jioni?
Ndiyo kwani ukimwoa huyu mpenzi wako utakuwa naye ndani kwani huna haja ya kuhangaika na kutopatikana kwa simu.... Sasa hivi utakuta jioni anahudumia mwengine maana kati yako wewe na yeye hakuna agano linalofunga na kuyaunganisha mahusiano yenu ndugu yangu... nisamehe bure ni maoni yangu tu...:mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad:
 
BISECKO

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
634

Ndoa sio tiba ya hilo, suala ni upendo wa dhati tu, ndoa si njia ya kumbana mtu asiye mwanifu awe mwanifu, msingi wa ndoa nzuri ni mahusiano mazuri kabla ya ndoa.

Kama huyu anayelamikiwa yupo hivyo inavyodhaniwa (kwamba huenda ana mpenzi mwingine) jamaa akioa itakuwa ameuza uhuru wake tu rasmi.

Agano halileti mapenzi ya dhati bali mapenzi ya dhati huleta hilo agano la ndoa...

Akilitafuta penzi kwa gharama ya juu, ataambulia maumivu kwa bei nafuu.
 
Kazi kweli kweli, Makubaliano ya mdomo tu halafu unataka awe mwaminifu.... kama ni kweli mapenzi ya kweli kwanini hatutaki kufunga nao maagano??? ni kwa sababu sisi wenye hatuna uhakika ndiyo maana wengi wanaamua kufanya diversification ili pakiharibika sehemu moja awe na nyingine ya kushikilia...:(:(:(:(:(
 
miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
1,158
2,000
kwani huyo anae kuambia uhakikishe namba unayo piga hakupi maelekezo mengine kama upige zile code ili na wewe akikupigia akutane na hicho kitu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom