Libya
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 798
- 2,059
Habari za Jioni
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 24 nimeajiriwa Serikalini Nina mwaka mmoja katika taasisi kubwa hapa Dar es salaam.
Changamoto kubwa ninayoipata kutokana na malezi yangu sio mtu wa kujichanganya Sana na watu! Nimekua mtu wa kazini then nyumbani weekend nashinda tu ndani kuangalia TV nakuzingua JF.
Sijapata msichana ambae Yuko serious na mahusiano yetu nilikuanae ambae nimeamua niachanenae sio mtu wa kujali though najitahidi kumjali kwa kiasi ninachoweza.
Nahitaji mtu ambaye Yuko serious na committed kwenye mahusiano.
Vigezo: msichana mrembo , mwenyekazi yake, akiwa muislam nitafurahi zaidi
DM is open