Dalili za Mwanamke akikuchoka

Libya

JF-Expert Member
Nov 11, 2016
783
1,917
Well,

Mawasiliano kupungua hana time na wewe Kama vile ulivozoea

Anakukwepa kuonana na wewe

Hakuhitaji kimwili kama anae mwengine anampatia

Hajisumbui kutamani kuonana naww ( hakwambii muonane hata kutoka)

Hana ile vibe ya kukusaidia hata kwa vitu vidogo tu ambavyo ww ni rahisi kumfanyia

Hafurahii uwepo wako Yani ukawepo usiwepo ha appreciate chochote

Utakuta mara nyingi unamkosoa tu unajikuta unalalamika kwa vitu vingi sana kwake

Anaongea maneno ya kukuumiza sana mnapogombana hachagui la kukuambia

Unapolalamika hajisumbui kukuplease kwa kukuelewesha Hilo jambo badala yake anazidi kukuongezea malalamiko

Unapojaribu kumuulza vitu anakasirika sana

Hana confidence na kutumia simu yake mnapokua pamoja anaweza kupigiwa asipokee au kujibu sms za watu ( ana mwengine )

Ataweka silence ( anaogopa usijue linaloendelea akilin mwake)

Utakuta amepigiwa simu na mwanamke hajapokea na Umeona anaweza kukuulza kwann hujauliza sijapokea simu ( unakuta kabisa alikua anataman uanzishe ugomvi apate sababu )

Hakuruhusu uende kwake unaweza kutaka kuonana nae kwake unakuta akufata yeye

Anachukua muda mrefu sana kujibu sms zako

Harespond kwenye social media mfano unaweza kueka status nzur whatsapp iwe picha yako au chochote hakusifii kwa lolote

Hajiamini

Utamtafuta wewe tu yeye hakutafuti

Hajali kukupa chochote

Anakuomba vitu kwa mfululizo

Pesa kwa wingi anaomba

Hajali kuhusu ugonjwa wako

Ukikosa kumpa anachokitaka mfano pesa atakasirika sana anakununia hana uchangamfu na wewe

Anakua mwema sana pale anapohitaji kitu kutoka kwako

Atakukera makusudi mfano kupost mwanamme/mwanamke ili kusudi ukasirike

Anyway, sababu ni nyingi inategemea na tabia ya mtu ila kwa hayo machache unaweza kufigure out japo mawil matatu kama mwanamke au mwanaume zote zinaweza kuwa dalili yamekufa kabisa au yanaelekea ukingoni ni hayo tu machache
 
Wewe umeachwa sisi tuache tuinjoy maana kutesa KWA zamu

Ushauri,,,,,, Tafuta hela acha kulalamika mwanamke ANAWEZA kukuvumilia maisha yake yote Kama ukiwa na hela so mind your deals
 
Hao ndo nawapenda mim...nikishaona hilo huwa namfanya advantage kwangu...ntajitahid kumpa chochote.nimtumie ipasavyo..kama tigo hata kama sili bas ntaingiza hata head tu..yaan vululu vululu..ntahakikisha namtumia kingono vibaya mno..hata picha za utupu ntampiga..sitozitoa tho....yaan huwa nawakomesha hadi huruma.
 
Hao ndo nawapenda mim...nikishaona hilo huwa namfanya advantage kwangu...ntajitahid kumpa chochote.nimtumie ipasavyo..kama tigo hata kama sili bas ntaingiza hata head tu..yaan vululu vululu..ntahakikisha namtumia kingono vibaya mno..hata picha za utupu ntampiga..sitozitoa tho....yaan huwa nawakomesha hadi huruma.
Na Wewe unayofanyia wale unawaamishia unawapenda na hawapendi Bali unawatumia..WAKUFANYAJE?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom