Uume unatoa usaha wenyewe tu unatiririka!

Libya

JF-Expert Member
Nov 11, 2016
783
1,918
JF DOCTORS: wakuu nini tiba ya ugonjwa huu! Uume unatoa usaha wenyewe tu unatiririka! Uume kuuma na kuwasha kwa ndani: ni ugonjwa gani na nini tiba yake
20220109_055145.jpg
 
Nenda hospitali haraka sana kawaone wataalamu kama Muongozo uliopita unavosema yumkini umeambukizwa magonjwa ya ngono.
 
Kachome powersafe hakuna kingine ni sekunde utasahau kama ulikuwa unaumwa
 
Tab. Cefixime 400mg PO stat.
Tab. Azithromycin 1g PO stat.

Alafu
Badili Nguo za ndani Asubuh-Jion
Usivae Nguo ya ndani bila Kuinyoosha .

Huyo Demu ulomulowekea , Usiloweke tena na Yeye anatakiwa atibiwe ( ikiwa ulipata Gono kwa Ngono)

Ukipona, Tumia kondomu ,kondom inaepusha mashida kama hayo.


Kumbuka, Ngoma na Magonjwa haya ni Pete na kidole, Pima, tumia kondom.
 
Back
Top Bottom