Search results

  1. Deadbody

    Tuliowahi chakata papuchi za baridi tukutane hapa

    Dah wakuu hizi papuchi zinatesa sana. Niliwahi kutana na demu wa Singida aisee ,mtoto mkali anavutia sana kwa nje lakini kufika kunako 6×6 kila nikiweka sikojoi. Mara saa moja inakatika bado sijakojoa,wakati huo yeye ashakojoa Mara Tatu. Mnara unasoma 5G ila sikukojoa ,kila nikibadili style...
  2. Deadbody

    Misemo maarufu zaidi ya Yesu

    Yohana 3:16 [16]Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Yohana 3:5 [5]Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu. Luka 6:31 [31]Na...
  3. Deadbody

    Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya mapenzi?

    Dah nakumbuka me ndio nilikuwa naanza nikakutana Na demu Fundi balaa basi nilikuwa nazidiwa possession kila round. Me ndio sijui chochote zaidi ya stori za kitaa.Nikapapasa kama nilivyokuwa nasikia maana wanasema sijui kumwandaa basi ikawa fujo tu ,Mara nibonyeze tako Mara nishike ziwa full...
  4. Deadbody

    Jibu gani baya uliwahi pewa wakati unatongoza hutakaa usahau?

    Me nakumbuka mwaka 2008 niliambiwa kuliko kukupa wewe mbunye yangu bora nikampe mbwa. Nilikaa kimya kwa muda , nikawa Na sura ya upole mno.Sikumjibu kitu ila nikageuka kwa unyonge nikaondoka taratibu huku nikionyesha kuwa Na mawazo. Akanionea huruma akaniambia simama G ........... Nisubiri...
  5. Deadbody

    Hotuba ya Mlimani - Hotuba Maarufu zaidi kuwahi kutolewa Duniani

    HOTUBA MAARUFU ZAIDI KATIKA BIBLIA (SERMON ON THE MOUNT) Yesu alipoanza Huduma ya kueneza neno la Mungu alikusanya wanafunzi wake 12 na akatoa Hotuba maarufu zaidi katika biblia nzima na hajawahi mtu yeyote katika biblia kutoa Hotuba kama ile kuanzia Mwanzo mpaka ufunuo hakuna...
  6. Deadbody

    Nataka kung'oa mzungu, naomba msaada kwa hapa Dar wazungu wanashinda mitaa ipi?

    Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea. Makato yamezidi, watanifilisi hawa. Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au mzungu. Natanguliza shukrani
  7. Deadbody

    Huyu ndio mwandishi bora wa vitabu kuwahi kutokea

    Anaitwa Dale Carnegie Na hivi ndio vitabu bora zaidi kuandikwa na huyu
  8. Deadbody

    Tukumbushane siku uliyojipanga kutongoza ila ulipofika Kwa demu ukasahau yote

    Nakumbuka jinsi nilivyokesha kuandika mistari na kuanza kujitongoza mwenyewe na kujikubalia kirahisi nikidhani kutongoza na kukubaliwa itakuwa kama kumsukuma mlevi. Nilikuwa kila nikitembea najitongoza tu Kwa mistari niliyoapa kuwa Asha hachomoi. Nikaiandika ,nikaisoma Kwa sauti na kimoyo...
  9. Deadbody

    Ni wimbo gani wa Hiphop unaona ni bora kwa muda wote?

    Kula yangu kwa Tupac-DO FOR LOVE
  10. Deadbody

    Naomba Maana ya mpumbavu na mjinga

    Hivi neno mpumbavu na neno mjinga kuna tofauti gani ?
  11. Deadbody

    Ni wakati gani uliwahi kuwa na furaha zaidi na hutoisahau?

    Mimi sitasahau siku ambayo matokeo ya form 4 yametoka na kuona nimefaulu kwa ile division kubwa,nikawa nikipita mtaani namsalimia kila mtu. Karibuni
  12. Deadbody

    Draft Special Thread:Karibuni wataalamu wote wa mchezo huu,ni nani bingwa unayemhusudu zaidi ?

    Zamu ya kucheza ni ya mwenye nyekundu Formula gani unayowatesa nayo sana na unaichezaje?
  13. Deadbody

    Mungu anakusudi lake kwako :You are not an accident

    You Are Not an Accident Maandiko yanasema , “Mimi ni muumba wako.Ulikuwa kwenye uangalizi wangu hata kabla hujazaliwa”-Isaya 44:2a Mwanasayansi mashuhuri,Albert Einstein alisema “Mungu hachezi kamali” You are not an accident. Kuzaliwa kwako haikuwa makosa au miujiza,na...
  14. Deadbody

    Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

    Baadhi ya wanafunzi mashuleni hupenda kuwa maarufu na wengine hujikuta wamepata umaarufu bila kutegemea. Umaarufu huu unaweza kuletwa na kitu/tabia nzuri au mbaya Endapo ndiyo. Ni kitu gani kilikupa umaarufu?
  15. Deadbody

    Wale wataalamu wa kubetishwa usiku na wachawi tumeona hivi : Juventus 1- 0 Atletical Madrid,mtanikumbuka

    Keep in mind, the results I saw before the match was played. FT Juventus 1 - 0 Atletico Madrid Atletico Madrid have entered the quarter finals
Back
Top Bottom