Search results

  1. EMMANUEL JASIRI

    DOKEZO Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

    Jamani Kwanini mteseke,ninaweza kuwashauri jinsi ya kuangamiza kunguni wote
  2. EMMANUEL JASIRI

    Mungu wa kwenye Biblia ameua watu wengi kuliko shetani. Shetani kaua watu 10 tu

    Kumbe unaitwa myebusi wewe Adui wa Israeli Israeli hana shida ukimbariki utabarikiwa Tatizo watu hamijui historia Mnarukia gari kwa mbele Hata huyo mnaye muunga mkono mnafuata habari Za kuambiwa bila kufanya utafiti Ndio maana mnateseka Acheni kukurupuka
  3. EMMANUEL JASIRI

    Mungu wa kwenye Biblia ameua watu wengi kuliko shetani. Shetani kaua watu 10 tu

    MUNGU wa Biblia ukimbariki anakubariki,ukimlaani unalaniwa,kwa hiyo mzingueni muone Ukimwendea kwa adabu naye atakujia kistrabu Ukiua Watu wake na wewe utauliwa Mwanzo 12:1-
  4. EMMANUEL JASIRI

    Serikali yetu kwa hili, taifa letu linagawanyika

    Kama huwezi kumwelimisha mtu ni afadhali ukanyamaza Kuliko kutumia lugha ya matusi na kufedhehesha
  5. EMMANUEL JASIRI

    Serikali yetu kwa hili, taifa letu linagawanyika

    Kea kweli serikali iingilie kati kuwadhibiti wale wanao tumia kauli za matusi kwenye Imani ya mtu mwingine Mfano ,Waislamu Wana amini Kuwa Mohammed ni Nabii Wa kweli,halafu mtu anadharau anasema Muhammad ni Nabii wa uongo,hiyo ni kashfa ,ni kudharau uislamu Watu wenye kukera watu wengine kiimani...
  6. EMMANUEL JASIRI

    Serikali yetu kwa hili, taifa letu linagawanyika

    Mtu aliye huru hapaswi na mtu mwingine awaye yote Kama mimi sikusumbui kuhusu ibada yako kwanini wewe unisumbue kwenye ibada KWA HILI watu wanavuka mipaka naomba serikali itusaidie
  7. EMMANUEL JASIRI

    Serikali yetu kwa hili, taifa letu linagawanyika

    Sijapinga kukosa,napinga kashfa au lugha mbaya,hii hii inachochea uadui, Pia hauwezi kunilazimisha kwa nguvu nifuate Unacho amini Nina uhuru wa kuabudu,ukitumia lugha ya kudharau au kudhalilisha huko ni kuninyima uhuru wa kuabu
  8. EMMANUEL JASIRI

    Serikali yetu kwa hili, taifa letu linagawanyika

    Sijapinga kukosa,napinga kashfa au lugha mbaya,hii hii inachochea uadui, Pia hauwezi kunilazimisha kwa nguvu nifuate Unacho amini Nina uhuru wa kuabudu,ukitumia lugha ya kudharau au kudhalilisha huko ni kuninyima uhuru wa kuabudu
  9. EMMANUEL JASIRI

    Serikali yetu kwa hili, taifa letu linagawanyika

    TAIFA la Tanzania halina dini ila wananchi wanazo dini zao na Imani zao isipokuwa zisivunje Sheria za nchi. Hata hivyo kwa makusudi wamekuwepo Watu ambao wanazishambulia Imani za watu wengine kwa lugha mbaya za udhalilishaji na waziwazi lakini Wana angalia tu Kuna wanaitwa, maaskofu...
  10. EMMANUEL JASIRI

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwanza nampongeza kwa kuwa msikivu Kuhusu Machinga, maeneo Wanayo tengewa mengine yanafaa lakini mengine hayafai Ukizingatia Machinga hufuata Watu walipo ili kuwauzia Naishauri Serikali Iweke muda maalum ambao Machinga hatoruhusiwa kuwa barabarani Halafu uwepo muda ambao Machinga...
  11. EMMANUEL JASIRI

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwanza nampongeza kwa kuwa msikivu Kuhusu Machinga, maeneo Wanayo tengewa mengine yanafaa lakini mengine hayafai Ukizingatia Machinga hufuata Watu walipo ili kuwauzia Naishauri Serikali Iweke muda maalum ambao Machinga hatoruhusiwa kuwa barabarani Halafu uwepo muda ambao Machinga...
  12. EMMANUEL JASIRI

    Siasa zenye Chuki binafsi ni Sababu ya Vurugu na Vita

    Mtu yeyote anaweza kupata fursa nzuri na maendeleo. Zipo familia zilizo bahatika kuishi katika utajiri mkubwa. Hiyo ni fursa ambayo wamejariwa. Changamoto ni kwamba wapo wanao amini kuwa umaskini walionao umesababishwa na matajiri waliopo. Ndipo Watu hawa huwa na chuki dhidi ya matajiri. Na...
  13. EMMANUEL JASIRI

    Je, unasumbuliwa na magonjwa/maradhi yanayo jirudia mara kwa mara?

    Maradhi, magonjwa yasiyo patiwa ufumbuzi wa haraka,huleta madhara makubwa hata kepelekea kifo. Unaweza kuepuka madhara hayo, Kwa kupata watalaam wazuri wa afya, Wenye vifaa vyenye uwezo mkubwa Katika kuchunguza na kubaini vyanzo vya Maradhi, magonjwa yanayo kusumbua mara kwa mara. Wanapo...
  14. EMMANUEL JASIRI

    Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

    Pole sana sana Hiyo ni changamoto Pia samehe Huo ni udhaifu wa mumeo Tafuta jinsi ya kumwokoa mumeo katika tabia usizopenda Kwa msaada au ushauri zaidi Wasiliana nami kwa 0768977816
  15. EMMANUEL JASIRI

    Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

    Wapo wanaume na wanawake wa hivyo Kwa uzoefu wangu nimeona wababa ambao wanapenda kulianzisha kwa mke au watoto Pia wanawake wanaopenda kulianzisha Wapo watu hufurahia ugomvi, Asipogombana anahisi kupungukiwa kitu fulani Na hawa watu si katika ndoa tu , Hata katika jamii wapo,ni...
  16. EMMANUEL JASIRI

    Je, wewe ni mwanamke unayetaka kuolewa ila haufanikiwi? Ijue saikolojia iliyojificha kwa wanaume wanaotaka kuoa

    Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
  17. EMMANUEL JASIRI

    Vituko vya migambo wa jiji la Arusha

    Siku moja Kaka mmoja wa kimasai ,katika harakati zake za kutembeza mikanda ili kuiuza, Alikutana na mteja, akawa akimwonyesha hiyo mikanda bila kuweka chini bidhaa zake, Akaja mgambo akamkamata, Kijana akahoji kosa lake ni nini? Mgambo aka endelea kung'ang'ania zile bidhaa bila maelezo...
  18. EMMANUEL JASIRI

    Je, niwekeze kupitia JATU Company PLC?

    Tafadhali kwa yeyote ambaye umewahi nufaika na JATU --wanaojihusisha na kilimo Utapeli au ni kweli? Nani aliyenufaika na JATU
  19. EMMANUEL JASIRI

    Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

    Huu ni mtandao wa kijamii,wamiliki wa mabasi ya shabibu wawachunguze wafanya Kazi wakorofi
Back
Top Bottom