Search results

  1. Mayu

    Kuna tofauti kati ya VAR na Goal Line Technology

    Michuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo chini Utaona ni jinsi gani mpira unatakiwa uwe umeingia kwa asilimia 100 ili kuhesabika goli So...
  2. Mayu

    Je, kissing (denda) ni jambo la asili au ni ubunifu wa kibinadamu?

    Kuna mambo ambayo yanachukuliwa kuwa ni ya asili(natural human behavior) kama kula, kulia, kucheka, sex nk nk. Yaani huitaji kufundishwa ndio uvifanye, vinakuja vyenyewe by instinct Lakini kuna mambo ambayo ni ubunifu tu wa binadamu, mambo hayo yanahitaji ujifunze ili uyajue, hayaji yenyewe by...
  3. Mayu

    Ukweli kuhusu kwanini unaamini dini unayoiamini

    Swali la MSINGI; IN THE FIRST PLACE, KWANINI UNAAMINI KATIKA DINI UNAYOIAMINI? Kabla hujaendelea kusoma be honest with yourself na ujijibu🙏 Ok tuendelee. Kila mtu kwa mujibu wa imani yake amekua akijenga HOJA NZITO kueleza “UKWELI” na u HALALI wa Mungu wake huku akinukuu maandiko ya dini...
  4. Mayu

    Nini mwisho wa Wapalestina? Hawajawahi kushinda hata siku moja

    Ukiiangalia hiyo ramani hapo juu utaona ni jinsi gani Wapalestina wanavyozidi kupoteza ardhi kila wakijaribu kupambana na Israel. Kuanzia waliposaidiwa na nchi za kiarabu wakashindwa hadi sasa Hamas bado wanashindwa. Toka Hamas walipo vamia Israel na kufanya mauaji na mateka hivi sasa Jeshi la...
  5. Mayu

    Nape Vs Advocate; Internet Vs Social Media

    Wakuu nimeukuta huu mtifuano huko mjini Twitani aka X Majibizano ni mengi lakini naona kama yanaendeshwa kwa hisia za kisiasa zaidi kuliko uhalisia wake, Wanazi wa Lumumba wote wanasiamama na Nape na wanazi wa Ufipa wote wanasimama na Advocate Hivyo basi nikaona nilete hapa jukwaani kwa...
  6. Mayu

    Part 2; Naingia shambani very serious kulima mahindi

    Rejea Pt 1 hapa kilimo cha alizeti [emoji116][emoji116][emoji116] https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/Naingia-Shambani-very-serious-kulima-Alizeti.1928043/ Msimu huu nataka kulima ekari 50 za mahindi na ekari 20 za alizeti Nitaleta mchanganuo na mrejesho kila hatua [emoji120][emoji120]
  7. Mayu

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu Alijua ataiangamiza dunia kabla...
  8. Mayu

    Msaada kisheria: Kanisa linatuchezea rafu

    Wakuu kwema? Kuanzia mwaka 2012 nilikua nanunua mashamba nje ya mji kidogo kidogo kwa mzee mmoja huko mkoani kwa jumla ya Tsh M3. Mwaka 2017 watu wote wenye maeneo huko tukaitwa kistaarabu kabisa na kanisa kupitia kwa mkuu wa mkoa na tukaombwa tuliuzie kanisa eneo hilo kwakuwa linataka kufanya...
  9. Mayu

    Beat Bora 50 za Hip Hop za muda wote duniani

    Katika kuenzi miaka 50 ya Hip Hop duniani platform mbalimbali zimekua zinatoa list zao kuhusu Hip Hop Sasa Sportfy wametoa list ya beat kali za muda wote Spotify’s 50 Greatest Hip-Hop Beats of All Time 1. “Still Dre” – Dr. Dre, Snoop Dogg 2. “Shook Ones, Pt. II” – Mobb Deep 3. “Grindin” –...
  10. Mayu

    Once upon a time (vijana wa kazi)

    Hili sio kundi la wanamuziki wa Westlife Hawa wakifanya makubwa sana kwenye ulimwengu wa soka Unakumbuka nini?
  11. Mayu

    Ushauri: Haki za mtoto baada ya mama kufariki

    Wakuu kwema Enzi sijafunga ndoa nilizaa mtoto wa kiume na binti mmoja wa kiislam kutoka Tanga. Hatukua na mpango wa kuoana hivyo mtoto alipofikisha umri wa miaka miwili kasoro nikamchukua na kuishi naye mimi, na sasa ana miaka 12 Mama yake alifanikiwa kupata kazi serikali lakini hakubahatika...
  12. Mayu

    Billboard yametoa orodha yao ya Rapa bora wa muda wote

    Nikawaida kila baada ya muda Billboard huwa wanafanya update ya list yao ya rapa bora. Katika Kuenzi miaka 50 ya Hip Hop wametoa latest list yao ya rapa bora kabisa 50 kuwahi kutokea Here's the entire list Billboard Top 50 Greatest Rappers list 50. Rick Ross 49.Rev Run 48. Melle Mel 47. MC...
  13. Mayu

    Ipi ni picha halisi

    Hapa kuna picha halisi na picha ya kuchora. Ipi ni picha halisi?
  14. Mayu

    Naomba kujuzwa bei za used PS

    Wakuu kabla sijaingia madukani kariakoo kutafuta used PlayStation naombeni muongozo wa bei na mambo mengine kitaalamu Toleo Iwe Ps 2 au Ps 3........ je matoleo haya bado yanaweza kukidhi haja na kupata game nzuri? Ni game gani naweza pata na game gani naweza zikosa Vipi bei zake zipoje? Bajeti...
  15. Mayu

    Alinitishia kusambaza picha zangu za utupu kama nisipompa milioni 1. Nilitoa taarifa polisi akakamatwa

    Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes! Hebu vaa hivi viatu kisha toa ushauri. Una familia yako mke na watoto na una mchepuko wako, ghafla mchepuko ambao mnakwenda nao sawa muda wote unatega kamera na kuchukua tukio wakati...
  16. Mayu

    Vyakula na life style katika umri wa 40+

    Kwa uzoefu wangu mdogo nimebaini Watanzania wengi sana tunapofikisha miaka around 40 tunaanza kupata changamoto nyingi sana za kiafya zinazo weza kuzuilika kutokana na life style zetu. Ukiachana na kutofanya mazoezi swala la ulaji na aina ya vyakula tunakula lina beba taswira kubwa sana ya...
  17. Mayu

    Hivi trekta linalipa kwa kulima shamba lako au kukodisha?

    Wakuu kwema? Mwaka huu baada ya kuuza mazao yangu natarajia kununua tracta kwa baje isiyo zidi Ml35 Kwa mwenye uzoefu tracta lina lipa zaidi kulima shamba lako binafsi au kukodishwa na kulima mashamba ya wengine? Location yangu ni Singida Iramba ya Ndago Nawasilisha Cc okw BOBAN NSUNZU
  18. Mayu

    Johnny Depp azikataa pesa za fidia alizoshinda kwenye kesi dhidi ya aliyekuwa mkewe, Amber Heard

    Baada ya kesi iliovuta hisia za watu wengi kati ya Johnny Depp na ex wake Amber Heard kutolewa hukumu ambayo ilimpa ushindi Johnny, mahakama iliamuru kwamba madai yote ya Depp kuwa mkewe alikuwa anamchafua na kutaka alipwe 10M USD yalikuwa sahihi na kumfanya Deep kuwa mmoja wa wanaume wachache...
  19. Mayu

    Nini Maoni yako baada ya kuisikiliza Album mpya Kendrick Lamar?

    Albam iliosubiriwa kwa hamu ya Nguli wa Hip Hop Kendrick Lamar imetoka rasmi na kuzua gumzo kubwa miongoni mwa mashabiki wa Hip Hop dunia Kwa ufuatiliaji wangu mdogo nimeona watu wengi sana ni kama wamekua disappointed na album hii..... yaani hawajakuta kile walichokua wanakitarajia vichwani...
  20. Mayu

    Ugumu wa kuwasamehe Halima Mdee na wenzake 18 huu hapa

    Kuna issue mbili zinaikanganya CHADEMA kuhusu Covid19, Inasemekana wajumbe wengi wanakubaliana kwamba ili kuonyesha ukomavu na uvumilivu kisiasa basi wanachama hawa wasamehewe lakini wavuliwe vyeo vyote ikiwemo ubunge na kubaki wanachama wa kawaida chini ya uangalizi wa muda maalum Lakini sasa...
Back
Top Bottom