Billboard yametoa orodha yao ya Rapa bora wa muda wote

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,637
10,722
IMG_0367.jpg

Nikawaida kila baada ya muda Billboard huwa wanafanya update ya list yao ya rapa bora.

Katika Kuenzi miaka 50 ya Hip Hop wametoa latest list yao ya rapa bora kabisa 50 kuwahi kutokea

Here's the entire list
Billboard Top 50 Greatest Rappers list

50. Rick Ross
49.Rev Run
48. Melle Mel
47. MC Lyte
46. Jadakiss
45. Ice - T
44. Queen Latifah
43. Bun B
42. Redman
41. E-40
40. Dr.Dre
39. Ludacris
38. Gucci Mane
37. Common
36. Mos Def
35. Future
34. Chuck D
33. Busta
32. T.I
31. Lil Kim
30. Lauryn Hill
29. Pusha T
28. Black Thought
27.Q-Tip
26. Big Pun
25. Method Man
24. KRS-One
23. Kurtis Blow
22. Ghostface
21. DMX
20. Big Daddy Kane
19. Missy
18. Ice Cube
17. 50 Cent
16. Scarface
15. J.Cole
14. LL Cool J
13. Rakim
12. Andre 300
11. Kanye West
10. Nicki Minaj
9. Snoop
8. Drake
7. Lil Wayne
6. Biggie
5. Eminem
4. 2pac
3. Nas
2. Kendrick
1. Jay-Z

VIGEZO
From there, the teams took into account the following criteria, not in any particular order: body of work/achievements (charted singles/albums, gold/platinum certifications), cultural impact/influence (how the artist’s work fostered the genre’s evolution), longevity (years at the mic), lyrics (storytelling skills) and flow (vocal prowess).

Binafsi Sio muumini wa kuamini hizi list na tuzo kama kigezo kikuu cha ubora wa msanii lakini angalau ndio platform zinazo heshimika na hutumika kuleta mijadala zaidi

Kilicho nifurahisha ni angalau sasa Billboard wameanza kuuelewa ukubwa wa NAS kwenye hii game
Kilicho nishangaza ni Lamar kuwa juu ya Lil Wayne achililiambali Nas Big na Pac

Nini maoni yako?

UPDATES
Hii ndio full list ya rapa bora 50 wa muda wote kwa mujibu wa Billboard/Vibes
 
View attachment 2511141
Nikawaida kila baada ya muda Billboard huwa wanafanya update ya list yao ya rapa bora.

Katika Kuenzi miaka 50 ya Hip Hop wametoa latest list yao ya rapa bora kabisa 50 kuwahi kutokea

Naweka top ten
1, Jay Z
2, Kendrick Lamar
3, Nas
4, 2Pack
5, Eminem
6, Big
7, Lil Wayne
8, Drake
9, Snoop
10, Nicki Minanj

Binafsi Sio muumini wa kuamini hizi list na tuzo kama kigezo kikuu cha ubora wa msanii lakini angalau ndio platform zinazo heshimika na hutumika kuleta mijadala zaidi

Kilicho nifurahisha ni angalau sasa Billboard wameanza kuuelewa ukubwa wa NAS kwenye hii game
Kilicho nishangaza ni Lamar kuwa juu ya Lil Wayne achililiambali Nas Big na Pac

Nini maoni yako?
Kaka kweli jay z namba moja🤣🤣🤣🤣????Au waga wanaangalia mauzo tu na hawatazami maudhui ya kazi???
 
Kama minaj anamzidi EVE the 1st lady at R.Ryders siitaki hiyo list
Huyo Eve E ana vinyimbo viwili tu vinavojulikana:
  • Who's that girl
  • Gangsta Lovin'

Tuje kwa Nicki Minaj. Unajua 1st Lady wa YMCMB ana mangoma mangapi yameshika chati za juu Billboard?

Ma-collaboration aliyofanya kubabake na kina Rick Ross, DJ Khaled, Chris Brown, Meek Mill, Lil Wayne?
 
View attachment 2511141
Nikawaida kila baada ya muda Billboard huwa wanafanya update ya list yao ya rapa bora.

Katika Kuenzi miaka 50 ya Hip Hop wametoa latest list yao ya rapa bora kabisa 50 kuwahi kutokea

Naweka top ten
1, Jay Z
2, Kendrick Lamar
3, Nas
4, 2Pack
5, Eminem
6, Big
7, Lil Wayne
8, Drake
9, Snoop
10, Nicki Minanj

Binafsi Sio muumini wa kuamini hizi list na tuzo kama kigezo kikuu cha ubora wa msanii lakini angalau ndio platform zinazo heshimika na hutumika kuleta mijadala zaidi

Kilicho nifurahisha ni angalau sasa Billboard wameanza kuuelewa ukubwa wa NAS kwenye hii game
Kilicho nishangaza ni Lamar kuwa juu ya Lil Wayne achililiambali Nas Big na Pac

Nini maoni yako?
Lamar album yake ya mwaka jana nadhan imembeba sana, naona hata grammy kapewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom