Naomba kujuzwa bei za used PS

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,640
10,726
Wakuu kabla sijaingia madukani kariakoo kutafuta used PlayStation naombeni muongozo wa bei na mambo mengine kitaalamu

Toleo
Iwe Ps 2 au Ps 3........ je matoleo haya bado yanaweza kukidhi haja na kupata game nzuri? Ni game gani naweza pata na game gani naweza zikosa

Vipi bei zake zipoje? Bajeti yangu isizidi 250k

Unaweza kufanya utundu kupata free game?

Cc Chief-Mkwawa
 
PS2 COMPLETE 120K HAD 160K DUKANI
PS3 COMPLETE 310K HAD 360K DUKANI.

TUNAFIKA ULIPO KWA DAR 0710701361 📞
FIFA 23 LA PS4 LIPO🔥🔥🔥
PES 23 LA PS4 LIPO🔥🔥🔥
PES 23 LA PS3 LIPO🔥🔥🔥
Pia tunaweka games nyingine kali kwenye PSP, PS2, PS3, PS4 pamoja na PC.
KWA PS4 NI 15000 KWA GAME KWA MASHINE ZILIZOCHIPIWA TU.
KWA PS3 NI 5000 KWA GAME, GAMES KUANZIA TANO KUNA OFA.
KWA PS2 NI 2000 KWA GAME KUANZIA TANO KUNA OFA PIA.
KWA GAMES ZA PC NI 5000 TU.
KWA GAMES ZA PSP KUWEKEWA KWENYE SIMU NI 1500 TU.
PIA TUNAFANYA WINDOWS INSTALLATION KWA BEI POA KABISA NA KUWEKA MOVIES NA SERIES KALI.
TUNAFIKA POPOTE ULIPO HASA KWA DAR.
Kwa mawasiliano zaidi 0710701361.
Instagram www.instagram.com/skygames_arena
 
Wakuu kabla sijaingia madukani kariakoo kutafuta used PlayStation naombeni muongozo wa bei na mambo mengine kitaalamu

Toleo
Iwe Ps 2 au Ps 3........ je matoleo haya bado yanaweza kukidhi haja na kupata game nzuri? Ni game gani naweza pata na game gani naweza zikosa

Vipi bei zake zipoje? Bajeti yangu isizidi 250k

Unaweza kufanya utundu kupata free game?

Cc Chief-Mkwawa
Angalau ps3 mkuu maana ps2 siku hizi hata kwa simu unacheza.

Ndio ps3 zinachakachulika unaweza tu kucheza game zako ukadownload mwenyewe.
 
Back
Top Bottom