Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,640
10,726
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously ?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever
 
Watu wakishashiba nyama ya punda (munsuli wa nini sijajua) huwa wanawaza kama wavuta bangi tu.Wanajidai wana hisia kali.Merde!

Ndio ushangae sasa huyu Mungu kwanini aoteshe mibangi

Mwezi uliopita nilikua Muhimbili wodi za watoto wa saratani
Yaani niliwaangalia wale watoto wadogo kweli jinsi wanavyopata tabu ya kansa na matibabu yake
Machozi yalinilenga aisee, unabaki unajiuliza kuhusu Mungu unakosa majibu
 
Hivi,huwa unasoma biblia Kama wewe ni mkristo?Umewahi kupata miongozo ya namna ya kuisoma?Huwa unauliza unapotatizika au huwa unakimbilia kulalama tu?Unaamini katika lipi hadi sasa?
 
Hivi,huwa unasoma biblia Kama wewe ni mkristo?Umewahi kupata miongozo ya namna ya kuisoma?Huwa unauliza unapotatizika au huwa unakimbilia kulalama tu?Unaamini katika lipi hadi sasa?

Hivi mkuu unajua kweli hata hiyo Bibilia kaiandika nani?

Ukianza kutoa mistari hapa utaanza kunukuu barua ya Paulo kwa Wagalatia na utahalalisha ni “maneno ya Mungu” wakati ni barua ya Paulo

Imani bila kutumia akili nayo ni ujinga kama ujinga mwingine
 
Hivi mkuu unajua kweli hata hiyo Bibilia kaiandika nani?

Ukianza kutoa mistari hapa utaanza kunukuu barua ya Paulo kwa Wagalatia na utahalalisha ni “maneno ya Mungu”

Imani bila kutumia akili nayo ni ujinga kama ujinga mwingine
Sasa,kama hata "Imani" kuhusu biblia hauna,kwa nini inakuumiza kichwa na kuanzisha uzi?Huo muda kwa nini usingeenda hata kuchunga punda tu?
 
Sasa,kama hata "Imani" kuhusu biblia hauna,kwa nini inakuumiza kichwa na kuanzisha uzi?Huo muda kwa nini usingeenda hata kuchunga punda tu?

Kama hakuna Mungu imani ya BIBILIA(maneno ya Mungu) itatoka wapi sasa?

Nimezaliwa na kulelewa mazingira ya uislam kwa mama na ukristo kwa baba, nazijua jua vizuri hizi dini
Toka utoto wangu naaminishwa habari za Mungu lakini kadiri ninavyozidi kukua concept nzima ya Mungu ikaanza kukosa maana kabisa

Na sasa nimejiridhisha pasi na shaka ya ziada huu ni uongo mtakatifu
Ningejua mapema nisingepoteza muda wangu kwa huu uongo
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

kwanini Mungu muweza wa yote asiwe WAZI kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za Mungu zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi hakuna UTHIBITISHO dhahiri kuthibitisha uwepo wake lakini usipo muamini moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna fundi kapenta huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously ?
Akaitwa Mungu mwana lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani
Hebu fikiria huko Arabia kuna mtu alidai anashushiwa maagizo na Mungu kuua watu wote watakao pinga na kufuata maagizo yake

Yaani maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza

This is the biggest scam ever
Mungu wa mchongo, ni zaidi ya mchongoma.
 
Kama hakuna Mungu imani ya BIBILIA(maneno ya Mungu) itatoka wapi sasa?

Nimezaliwa na kulelewa mazingira ya uislam kwa mama na ukristo kwa baba, nazijua jua vizuri hizi dini
Toka utoto wangu naaminishwa habari za Mungu lakini kadiri ninavyozidi kukua concept nzima ya Mungu ikaanza kukosa maana kabisa

Na sasa nimejiridhisha pasi na shaka ya ziada huu ni uongo mtakatifu
Ningejua mapema nisingepoteza muda wangu kwa huu uongo
Unapoandika ..."nazijua vizuri hizi dini"... ndiyo sehemu uliyojikaanga kwa mate yako.Lazima uungue tu.Nakudokeza,huna ujualo.Na kama kuna uliyofundishwa basi ulikuwa unapewa simulizi bila kupewa maelezo sahihi ya kiimani na uelewa thabiti.
USHAURI:Kama dini hizo zimekuwa ngumu sana kwako kueleweka ni vema uachane nazo na utafute mbadala uupendao na kuuhitaji.Ni rahisi tu!
 
Kwanini “Mungu” aweke ugumu sana kumjua na mafundisho yake sahihi ni yapi?

Nauhakika kwa 90% dini unayo iamini unaamini kwakuwa umezaliwa na kulelewa katika imani hiyo(prove me wrong)
Na hii ni kwa watu karibu wote duniani
Ni asilimia ndogo sana wanaobadili dini baada ya kujishughulisha angala kutaka kujua na kuwa na machaguo “sahihi” ya imani

Ukweli ni kwamba asilimia kubwa wanaamini kile wamelishwa(brainwashed)toka utotoni na wazazi/walezi na viongozi wao wa dini

Kama ungezaliwa Iran na wa iran ungekuwa Mshia na ungezaliwa Korea ungeabudu mabudha na ungezaliwa viunga vya Paris maybe ungekuwa mu RC
 
Kwanini “Mungu” aweke ugumu sana kumjua na mafundisho yake sahihi ni yapi?

Nauhakika kwa 90% dini unayo iamini unaamini kwakuwa umezaliwa na kulelewa katika imani hiyo(prove me wrong)
Na hii ni kwa watu karibu wote duniani
Ni asilimia ndogo sana wanaobadili dini baada ya kujishughulisha angala kutaka kujua na kuwa na machaguo “sahihi” ya imani

Ukweli ni kwamba asilimia kubwa wanaamini kile wamelishwa(brainwashed)toka utotoni na wazazi/walezi wao

Kama ungezaliwa Iran na wa iran ungekuwa Mshia na ungezaliwa Korea ungeabudu mabudha na ungezaliwa viunga vya Paris maybe ungekuwa mu RC
Nikikujibu uliyouliza na kuku-prove wrongs, ndiyo utaanza kuamini?Wewe unatafuta sababu/exist points tu.Wasalimie Kigoma.
 
Nikikujibu uliyouliza na kuku-prove wrongs, ndiyo utaanza kuamini?Wewe unatafuta sababu/exist points tu.Wasalimie Kigoma.

Mi mla punda wa Singida mkuu

Ikiwa utakua umebadilisha dini ukubwani utakua miongoni mwa wachache waliojiongeza na kuona walikua wanalishwa matango pori
Nahakika ukijishughulisha kidogo tu angala kujua je hivyo vitabu viliandikwaje kuwa vitabu vya Mungu basi utaujua ukweli
 
Back
Top Bottom