Ugumu wa kuwasamehe Halima Mdee na wenzake 18 huu hapa

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,630
10,708
Kuna issue mbili zinaikanganya CHADEMA kuhusu Covid19, Inasemekana wajumbe wengi wanakubaliana kwamba ili kuonyesha ukomavu na uvumilivu kisiasa basi wanachama hawa wasamehewe lakini wavuliwe vyeo vyote ikiwemo ubunge na kubaki wanachama wa kawaida chini ya uangalizi wa muda maalum

Lakini sasa hoja hii inaleta sintofahamu KISHERIA kwamba wakisamehewa maana yake bado watakua na sifa za kisheria kuendele kuwa wabunge, kwamba itatumika ground ipi kuhalalisha wao kuvuliwa ubunge?

Je taratibu za kubadili wabunge ambao tayari wanatambulika kisheria upoje?

Kwamba CHADEMA itabidi iandike barua kwamba waliopo sasa ni batili kwa sababu walifanya udanganyifu(tayari CHADEMA wamekwisha fanya) je hatua za kisheria zimechukuliwa na chama kuharamisha forgery hiyo? Kumbuka wabunge hawa wanakomaa barua ni halali ndio maana hadi leo hii Bunge linawatambua

Hapo sasa ndio issue ya pili inaingia. FUKUZA wote kwanza ili wakose sifa ya ubunge.

Itakua Ni udhaifu mkubwa sana kwa chama kikubwa kama CHADEMA kukubali umafia waliofanyiwa na CCM wa kukubali kuendele na wabunge wa kuteuliwa kihuni na CCM
 
Kitendo cha wao kulazimisha kuwa barua hizo ni halali tayari linawakosesha uhalali wa kuendelea kuwa wanachama wa CHADEMA
 
Kama wenye vyeti feki wanasamehewa, why not hao makamanda waliotumikia taifa kwa nguvu na sauti zao?
 
Mbowe ana hekima sana.
Ukisikia maneno ya Busara anayoyaongea Mbowe leo na jinsi anavyoelezea alivyoenda kuongea na Rais. Naona anasisitiza upendo, Amani na kuacha chuki kwa watu wa vyama vingine. Napata jibu kuwa hata hawa kina Halima watasamehewa ili kuachana na makovu yaliyosababishwa na JPM.
 
Watasamehewa Ili kuachana na makovu yaliyoachwa na shetani mwendakuzimu.

Leo tumeona na kusikia live from mlimani city through clouds Media.

Kipindi Cha yule shetani tungesikia wamekamatwa sijui wasaliti.

Manina zake Bora amekufa na huko aliko aongezewe Kuni.
 
Kuna issue mbili zinaikanganya CDM kuhusu Covid19, Inasemekana wajumbe wengi wanakubaliana kwamba ili kuonyesha ukomavu na uvumilivu kisiasa basi wanachama hawa wasamehewe lakini wavuliwe vyeo vyote ikiwemo ubunge na kubaki wanachama wa kawaida chini ya uangalizi wa muda maalum
Lakini sasa hoja hii inaleta sintofahamu KISHERIA kwamba wakisamehewa maana yake bado watakua na sifa za kisheria kuendele kuwa wabunge, kwamba itatumika ground ipi kuhalalisha wao kuvuliwa ubunge?
Je taratibu za kubadili wabunge ambao tayari wanatambulika kisheria upoje?
Kwamba CDM itabidi iandike barua kwamba waliopo sasa ni batili kwa sababu walifanya udanganyifu(tayari CDM wamekwisha fanya), je hatua za kisheria zimechukuliwa na chama kuharamisha forgery hiyo? Kumbuka wabunge hawa wanakomaa barua ni halali ndio maana hadi leo hii Bunge linawatambua

Hapo sasa ndio issue ya pili inaingia....... FUKUZA wote kwanza ili wakose sifa ya ubunge.
Itakua Ni udhaifu mkubwa sana kwa chama kikubwa kama CDM kukubali umafia waliofanyiwa na CCM wa kukubali kuendele na wabunge wa kuteuliwa kihuni na CCM

Mimi nashauri chama kibaki kwenye Rufaa basi. Yani washughulike na rufaa mengine waachane nayo. Kwanza Halima Mdee na Ester bulaya nje ya chadema wameprove ni wakawaida Sana.
 
Mbowe ana hekima sana.
Ukisikia maneno ya Busara anayoyaongea Mbowe leo na jinsi anavyoelezea alivyoenda kuongea na Rais. Naona anasisitiza upendo, Amani na kuacha chuki kwa watu wa vyama vingine. Napata jibu kuwa hata hawa a Halima watasamehewa ili kuachana na makovu yaliyosababishwa na JPM.

Watasamehewa kwa sababu zipi? Maana walishafukuzwa sio wanachama. Chadema wajitahidi kuwa serious hili laweza kuwalipukia vibaya, maana unaweza kusamehe halafu 2025 wakahamia CCM. Wafukuzwe Mona kwa moja.
 
Watasamehewa Ili kuachana na makovu yaliyoachwa na shetani mwendakuzimu.

Leo tumeona na kusikia live from mlimani city through clouds Media.

Kipindi Cha yule shetani tungesikia wamekamatwa sijui wasaliti.

Manina zake Bora amekufa na huko aliko aongezewe Kuni.
Unapenda kuni eh?
 
Alifukuzwa zito kabwe sembuse Malaya hawa zito alikua bungeni nanje yabunge sawa na wabunge waccm150 idadi hiyo namawaziri humohumo
 
Ikitokea chadema wakawasamehe hawa, najivua uanachama sitokuwa na chama tena...bora niende kushabikia Simba na yanga...Utakuwa ni upuuuuzi wa kiwango cha ngedere.
 
Back
Top Bottom