Search results

  1. Mdeke_Pileme

    Wataalamu wa Maabara watoa dukuduku lao, kuhusu sakata la utoaji majibu yasiyo sahihi katika Vituo vya Afya

    Baada ya jukwa la JamiiForums kuchapisha nakala kwenye mitandao ya kijamii inayosema :- Bodi ya Maabara Binafsi za Afya ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya imesema inayafanyia kazi madai kuwa baadhi ya Maabara zinatoa majibu ya uongo ili Zahanati ziuze Dawa, ikiwa ni ufafanuzi uliotolewa baada...
  2. Mdeke_Pileme

    Wakazi wa kijiji cha Mbwera, Wamekuwa wakining'iniza simu zao katika paa nyumba, ili kupata mawasiliano

    Wakazi wa kijiji cha Mbwera kata ya Mbuchi wilayani Kibiti, mkoani Pwani , wamekuwa wakining'iniza simu zao katika paa la kibaraza la moja ya nyumba iliyopo kijijini hapo kupata mawasiliano. Baadhi ya wakazi wakizungumza na ITV wamesema, licha ya maendeleo ya barabara iliyotengenezwa kwa...
  3. Mdeke_Pileme

    Shida hapa itakuwa nini kwenye app ya NMB Mkononi

    Habari wana jukwa!!! Leo nnimepakua app ya NMB Mkononi kwenye simu yangu ya Android, Lakini kila nikijaribu kujisajili naletewa maneno haya kwenye screen.. Je, Shida itakua nini hapo? Nimeamua kuyaandika haya maneno kwa sababu nimeshindwa kupiga screen shot, app yao imeblock kupiga screenshot...
  4. Mdeke_Pileme

    Msaada wako muhimu wakuu

    Habari za humu wakuu! Naomba kufunzwa namna haya mafile yanavyo funguliwa mpaka kuwa website kabisa, maana nime furukuta nimeshindwa, naomba step by step nielekezwe aise. File lenyewe kama hili hapa Drcare.zip Asantaneni sana
  5. Mdeke_Pileme

    Premier betting

    Habari wakuu! Nataka kuomba machine ya kubetisha katika company ya premiere betting. Sasa swali langu ni hivi, Zile flat screen tv, wanakupa wenyewe au zinakuwa za kwangu?
  6. Mdeke_Pileme

    Natafuta laptop aina ya dell au Toshiba.

    Habari wanajamvi! Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu, nipo Tabora, bei iwe 150k mpaka 170k , Mwenye nayo anicheki hapa iGod@myself.com sisikero@keromail.com Au WhatsApp +255743177037
  7. Mdeke_Pileme

    Laptop aina ya Dell

    Habari wanajukwaaa Msaada nina laptop yangu hapa imeanza kusumbua batani, Kuna baadhi ya batan hazitaki kubonyezeka. Kuna Q,W,E,R,T,Y,U,I,O,P Pamoja na enter haifanyi kazi. Hapo tatizo litakuwa nini, msaada wa haraka kwa wanao fahamu.
  8. Mdeke_Pileme

    Naomba kujua kiundani kabisa kuhusu kuanzisha na kuendesha channel za YouTube

    Habari wana jukwaa! Nilikuwa naomba kujua kiundani kabisa kuhusu hizi chanell za YouTube. Kuna channel ambayo niliipenda sana na mara nyingi huwa napenda kuiangalia, kama huyu ndugu yetu Jonijoo kama kuna baadhi ya watu mnamfahamu. Sasa nina maswali yafuatayo; 1. Ni vifaa gani vinatakiwa...
  9. Mdeke_Pileme

    Namna ya kutoa Fastboot mode kwenye Tecno spark9

    msaada wa haraka wakuu, Namna ya kutoa FASTBOOT mode kwenye Tecno spark9. Naomba mnisaidie
  10. Mdeke_Pileme

    Mwenye kitabu hiki au sehemu ambayo naweza pata.

    Habari wanajukwa! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu, Naomba mwenye kitabu, au sehemu naweza kukipata iwe kwa njia ya mtandao au soft copy kama mtu anayo naomba kusaidiwa. Kitabu chenyewe kinaitwa PHARMACOLOGY OF A GRUG AND ADMINISTRATION. natanguliza shukrani. Mwenye soft kopy...
  11. Mdeke_Pileme

    Kwanini mwenza akichepuka unaumia? Tafuta mwingine

    Habari wana Jamvi! Ebu tutoeni utata huu, ivi kwa nini mume/mke huwa anauma endapo umesikia anachepuka na Njemba fulani mpaka inafika muafaka wa mtu kujinyonga, kula sumu au kuchinjana kabisa. Si utafute mwingine kama huyo amekushinda!
  12. Mdeke_Pileme

    ALIYE WAHI TUMIA SIMU KAMA HII TAFADHARI SHARE

    Habari Watu wa nguvu! nilisha wahi kutumia simu aina ya Tecno T611 kwa siku za nyuma kidogo. Kutokana na uwezo mdogo wa simu, lakini ilikuwa inasehemu inayoitwa (Broadcasting setting) ambayo ilikuwa ina sehemu ya kuadd chanell na jina la hyo chanell. Mfano: Chanell name ZUKI...
  13. Mdeke_Pileme

    Baada ya kuacha kupiga Punyeto

    Habari wana Jamvi kutokana na uzoefu wa kupiga nyeto takriban mwaka mmoja sasa nimeamua kujikana mwenyenyeeee kabisa. Nina kama niezi mitatu sasa tangu niache ponyeto lakini cha kushangaza usiku wa manane mida kama ya saba na saa nane najikuta kuota ndoto za kufanya mapenzi na wanawake ambao na...
  14. Mdeke_Pileme

    Biashara ya kuku wa kienyeji

    Habari wana JF natangaza kufanya biashara ya kuku wa kienyeji na kisasa pia, mimi nipo IRINGA natafuta shilika watu/mtu yeyote yule ambaye ana husika/kujishugulisha katika biashara ya kuku, wawe maeneo tofauti either kitonga,morogoro, dar es salaam,dodoma, mtera na n.k kama upo tayari kwa...
  15. Mdeke_Pileme

    Msaada natafuta kazi

    nimesomea medical lab science kwa ngazi ya certificate natafuta kazi sehemu yeyote ile
  16. Mdeke_Pileme

    msaada sim aina ya Gowin

    habari wana if natumia sim aina ya Gowin android vision 4.4.2 sasa haina network ya 3G intumia 2G network baada ya kuchunguza nimeona kuna place ya kuwka au kuongeza 3G sasa nashndwa on to register please i need your help as Gadjad.com
  17. Mdeke_Pileme

    Tatizo la sauti nyembamba kwa mwanaume mwenye umri zaidi ya miaka 21

    Habari wanaa jukwaa, Tatizo langu nina sauti ndogo yani kama ya kike nini tatizo au jinsi gani ya wezwa kubadilishwa maana mpaka kero sasa, hasa hasa kwa mabinti kunidongoa kuwa nina elements za kike. Nawasilisha Msaada wenu Jf
  18. Mdeke_Pileme

    Nimetengwa baada ya baba yangu kufariki

    Baada ya baba yangu kutoweka duniani nimekataliwa kuwa sio mmoja wa familia.Nimekulia kijijini baba yangu alikuwa anaishi mjini. Kutokana na kutokunitambulisha kwa ndugu na kuwatambulisha dada zangu pamoja na kaka zangu, baba wadogo na shangazi wanadai mbona wao hawakutambuliswa! Kwa msaada...
Back
Top Bottom