chief mkwawa

 1. Mshua's

  Nahitaji kununua simu yenye sifa hizi, je ni simu ipi itanifaa?

  Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kununua simu ila sijajua ni brand gani kati ya Samsung, Nokia au Infinix Nahitaji simu yenye sifa hizi: - Processor - snapdragon 630 - Ram 4, CPU 32 GB - Kioo supergorrila 3 - Battery 4000 mAh - Camera 16 mp - Na vitu vingine kama...
 2. Rumi96

  Msaada kwenye Excel

  Wakuu, habari ya wakati huu! Nimeapply formula ya Concatinate nikaweka semi colon kama alama ya kuseparate data ambazo zimekuwa combined. Yaani =CONCA(A4,";"B4,";",C4,";",D4). Nimefanikiwa ila baadhi ya cell zipo blank nataka cell zilizo blank semi colon isitokee, msaada tafadhali. Maama semi...
 3. C

  Naomba kujua gundi ninayoweza kuitumia kubandikia kioo cha simu yangu

  Simu yangu imebanduka kioo (smart phone) ni gundi gani nzuri naweza kuitumia ili kubandika kioo.
 4. idrisa S

  Tafadhalini wataalamu wa desktop msaada

  Mimi nina desktop yangu aina ya Dell. Ila tatizo lake silijui maana nikiwasha inawaka ila haitoi picha kwenye monitor.
 5. crusader_jr

  Ubora wa simu janja (smartphone)

  Wakuu salamu zenu katika ubora. Samahani nlitaka kuulizia sifa na ubora aa simu za OPPO. Nina 250,000 so naomba ushauri, na hapa Dar es salaam-Kariakoo dealers wanapatikana wapi. Sifa zihusishe proccesor, battery, storage, camera, face detector, android version, RAM na mengineyo mnayoyajua...
 6. crusader_jr

  Uelewa juu ya simu janja (smartphone)

  Habari wana JF poleni na kazi na majukumu mbalimbali, Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye swali langu, ni kwanini fingerprint scanner kwenye simu janja baada ya kuscan upande mmoja wa kiganja either cha kushoto au cha kulia (mfano nimetumia cha kulia) kwa nini nkitumia mkono mwingine...
 7. Roja Mila

  Tatizo la network

  Habar wanajukwaa Simu yang samsung j7pro inatatzo la network kua chini km nitafungua data na kumtumia mtu chat kw whatsapp huchukua had dakika moja bado haijaweka tick. Pia sometime nikipigiwa hua haipatikani Naomba msaada wenu wakuu natanguliza shukran
 8. M

  Msaada:Tv kuwaka nakuonyesha logo kisha kutoa mwanga unaofifia taratibu nakua mweusi bila kuonyesha picha

  Habari ya jioni wakuu,kuna smart TV inakama wiki inasumbua kuwaka kwa njia ya umeme wakawaida,ilianza ukiiwasha inatokea logo ila rangi ya screen inafifia kama vile umeme ni mdogo kisha baada ya sekunde kama 30 hivi mwanga mweupe unatokea kisha inaanza kuonyesha picha vizuri tu inatilia.Ila leo...
 9. bananga

  Msaada: Video na Audio kupause

  Habari za muda huu wanajamvi, hope mko poa. Simu yangu aina ya Samsung galaxy ukiplay video au audio hata radio inaplay sekunde kadhaa halafau inapause yenyewe sijui shida ni nini wadau? Ninatumia VLC na tunewiki kuplay. Msaada wenu wadau
 10. Machozi ya Simba

  MSAADA: SCRAPPING WEBSITE DIRECTORIES

  Nimehangaika sana na hii ishu kwa leo, kuna website ya vichekesho inaitwa ackyshar.com shida yangu ninachotaka ni scrape i links za directoriy ya vichekesho vichelesho vipo kwenye directory hii "www.ackyshine.com/vichekesho" links zake ni kama "www.ackyshine.com/vichekesho:ajira-ngumu"...
 11. Alban makoa

  Tetesi: How to change LOGO in window 7

  JINSI YA KUBADILISHA LOGO YA WINDOWS 7 na KUWEKA PICHA YAKO pindi tu PALE PC YAKO INAPOANZA KUWAKA au KUZIMA. 1 - Bonyeza WINDOWS KEY + R kufungua CHECK BOX. 2 - Katika hiyo CHECK BOX andika REGEDIT then OK. 3 - Sasa nenda ktk "[HKEY_LOCAL_MA CHINE\software\microsoft\windows\ currentVersion\...
 12. Umuzukuru

  Msaada wakuu

  Kwa wapenzi wa games kwa kutumia Simu(Android) Sasa katika kudownload apk baadhi ya games unakutana na Kitu Kama hiki (Game size:95mb+1042mb) Je hakuna namna ya kufanya I'll baada ya kudownload hizo 95mb uweze kucheza game bila hizo 1042mb????? Nawasilisha
 13. Lukas4

  Msaada wako muhimu wakuu

  Habari za humu wakuu! Naomba kufunzwa namna haya mafile yanavyo funguliwa mpaka kuwa website kabisa, maana nime furukuta nimeshindwa, naomba step by step nielekezwe aise. File lenyewe kama hili hapa Drcare.zip Asantaneni sana
 14. idrisa S

  MWENYE KUJUA TATIZO HILI [PC]

  Jamani mimi nina laptop yangu kuna tatizo limejitokeza katika laptop hilo tatizo ni juzi kati hapa nilikua nacheza gemu ikaanza kwenda slow na gemu ilikuwa inacheza vizuri tu NAOMBENI MSAADA JUU YA TATIZO HILI.
 15. wizodg

  MSAADA JINSI YA KUHACK WIFI

  Habari zenu Jamani,naomba mwenye kujua namna ya kuhack WiFi password a(tu)nielekeze.Ahsanteni.
 16. S

  MSAADA WA KU FLASH HUAWEI MODEM E8231S-1

  Habari za saa hizi, naomba msaada wa software inayoweza kuflash huawei modem e8231s-1 wingle.
 17. Jagood

  Msaada "Not registered on network"

  Msaada Tatizo: Not registered on network Simu: S6 Edge Imei za simu ninazo. Screenshot ya Tatizo hii hapa
 18. E

  IMAGE CLASSIFIER

  Hello family , i am kindly asking for guidance on how to implement my final year project at the college. My project proposal was about how you can detect leukemia at the early stage using machine learning method,where by i wanted to use normal human blood digital microscopic images to train my...
 19. Mu-sir

  Huawei Mate 7 ya kichina

  Wakuu leo nimenunua simu Huawei Ascend Mate 7. kumbe ina OS ya Kichina haina hata Google play store japo inafunction vizuri kwa baadhi ya basic apps za simu Yaani kiufupi nimepigwa. Sasa je naweza badili hii ROM Na kuweka ya Europe?? Naamini humu yote yanawezekana. Au niende wapi nikatatue hili...
 20. J

  Msaada: PC (hp) imezima ghafla baada ya kuchomeka waya wa Sub-Woofer

  Kama kichwa kinavyojieleza wadau. Nimechomeka waya wa Sub-Woofer ambayo ilikuwa imewaka (2 in 1) kwenye pc aina ya hp, ghafla ikazima... na haijawaka tena hadi hivi sasa. Nimejaribu kutoa betri na kuiwasha ikiwa imechomekwa moja kwa moja kwenye chaja, taa ya chaja inawaka, lakini pc haiwaki...
Top