ALIYE WAHI TUMIA SIMU KAMA HII TAFADHARI SHARE

ALIYE WAHI TUMIA SIMU KAMA HII TAFADHARI SHARE

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,599
Reaction score
2,248
Habari Watu wa nguvu!

nilisha wahi kutumia simu aina ya Tecno T611 kwa siku za nyuma kidogo.

Kutokana na uwezo mdogo wa simu, lakini ilikuwa inasehemu inayoitwa (Broadcasting setting) ambayo ilikuwa ina sehemu ya kuadd chanell na jina la hyo chanell.
Mfano: Chanell name ZUKI
Chanell index 9688 na kuendelea.

Sasa baada ya Kuset hzo chanell name na index, utaona sasa kila mtaa nitakao pita ina aniandikia mahali nilipo.

Sasa nataka kuuliza, inaweza kaaje kwenye hizi simu za smartphone au maujanja yoyote yale yanayo weza fanikisha hlo tukio.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom