Huyu Mchora katuni, Sijui huwa anawaza nini!

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,564
2,126
1093575
 
Kipanya ipo siku watamchukua kama Mdude. Wale vibaraka hawana simile na hawapendi kabisa kuona madongo kama haya wanayohisi yanaelekezwa kwa mzee baba
Watu kama hawa inabidi tuwe tunawatumia kutatua tatizo, ila wanageuzwa kuwa vikwazo vya nchi
 
Kipanya ipo siku watamchukua kama Mdude. Wale vibaraka hawana simile na hawapendi kabisa kuona madongo kama haya wanayohisi yanaelekezwa kwa mzee baba
Ameshajitoa muhanga siku wakimchukua siku inayofuata Jiwe nae ataanguka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom