Laptop aina ya Dell

Laptop aina ya Dell

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,599
Reaction score
2,248
Habari wanajukwaaa

Msaada nina laptop yangu hapa imeanza kusumbua batani,
Kuna baadhi ya batan hazitaki kubonyezeka.
Kuna Q,W,E,R,T,Y,U,I,O,P
Pamoja na enter haifanyi kazi.

Hapo tatizo litakuwa nini, msaada wa haraka kwa wanao fahamu.
 
Peleka kwa fundi mkuuu!!! Hapa huwez kutambua kwa undan tatzo linalohusu kifaa chako!!
 
ukicheki zote naona ni button za mstari mmoja. Technically suala hili linatibika, lakini mpaka kwa fundi.
 
Back
Top Bottom