Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Likoje?
0 Reactions
74 Replies
14K Views
Najiaminisha kuwa mwanaume na mwanamke wakikaa siti ya mbele ya gari.... asilimia kubwa huwa ni wenzi/wapenzi... huwa najiuliza; kila nikipiga chabo toka kwenye benzi la mwaibula(daladala) na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Je kuna kati ya wapenzi wa jukwa hili ameenda kupima VVU??leo ni 1,Dec,2010 siku ya ukimwi Duniani Mimi nipo hapa nanenane morogoro nacheki ngoma!!je wewe??:painkiller:
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Duh Kweli binti kamzimia jamaa bila kujali hali lakini je litadumu hili penzi? Mungu awaepushe na mawazo ya wachakachuaji. Triple amputation puts teenage lovers to the test Craig Wood and Vicky...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mambo vipi wana JF! Ngoja niwashirikishe kwenye hii issue iliyonikuta leo mornie wakati naelekea kwenye kibarua. Nilikuwa nimekaa kwenye seat yangu fresh mara akaingia mdada amebeba mtoto mgongoni...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Nauona wanwake mnasumbuka wakati mmejaliwa!!Unakuta mwanamke Jeans,Skintite,kufuli vyote vya nini? Hivi gauni sindo vazi lenu??kama ndo hivyo simnge vaa na kufuli disgn kama gauni??kuliko sasahivi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Smart man + dump women = affair smart women + dump man = marriage dump man + dump women = prignancy smart women + smart man = romance
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wapendwa si haba kuwapongeza wawili wanaopenda na kuamua kuwa mtu mmoja ingawa roho bado mbili lakini uksoma kitabu chetu cha injili unakuwa mwili mmoja....Ndugu zangu wapendwa napenda kuwapongeza...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeisoma hii mahali ikanifurahisha nikaona nishare nanyi wapendwa Ingekuwa wewe ungefanyaje? Mama Wawili bought a new handset and a new line. She wanted to surprise her husband. In the...
0 Reactions
82 Replies
11K Views
wapendwaa katika jina la bwanaa...mwezenu sijui nini?kuna tabia nime kua nayo sasaa nimiaka NANE,yani sijui KUPENDA,nakumbukaa nilikuwa na gal nikiwa na umri wa miaka 18 nilimpenda sanaa,ilaa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimejaribu kuangalia baadhi ya wanandoa mbalimbali na kuona kuna mengi sana yanayotokea hivi sasa naomba nieleweke sikutishi uoe ama kuolewa ila vyema kujua ndoa sio lelemama na unapoamua kuingia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndoa za siku hizi bwana! Wanajamii naomba mnisadie maana ndoa za siku hizi hazidumu kabisa ni mdudu gani kaingilia kati? Ndoa nazifananisha na mua, mbona wanandoa wanaanza kula kutamu na kumalizia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Love it
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zene waungwana habari za masiku kibao natumai wote jana tulikwenda katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani na pia tulipima afya zetu. Kwa wale wenye maambukizo msijali ni sehemu ya...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Watalaam wa mahusiano wa kiume na kike Siku za karibuni nimeanza kuvtiwa "kihisia" na member 1ja wa kike. Tatizo langu ni domo zege sijui nianzeje .lakini kila nikiona comment yake roho...
0 Reactions
78 Replies
6K Views
The Female Factor Keeping Romance Alive in the Age of Female Empowerment By KATRIN BENNHOLD Published: November 30, 2010 PARIS - Remember "Sex and the City," when Miranda goes speed-dating...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana jamvi, baada ya kuvumilia kwa muda mrefu nimeona niweke jambo hili mbele yenu, kwa baadhi itakua funzo lakini pia kwa wengine itakua wamepata pa kuanzia. Naliweka hili kwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Niliposikia kwa mara ya kwanza kuwa watu wanaongoza kwa upole ustarabu, na mipango mizuri ya maisha katika jamii ni wale wanaosikiliza miziki aina ya R&B au SLOWJAMs ama miondoko ya taratib...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nakumbuka enzi zile tunasoma....... mapenzi ya chandimu unaandikiwa barua ya mapenzi ina mistari kibao ya nyimbo za mapenzi za kina Boyz II Men, imeandikwa kwa kalamu za rangi zote, imenyunyiziwa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Dada mmoja alikuwa na mchumba wake wa muda mrefu....aliamua kuweka mambo yao down-low...nobody has to know.....ikatokea siku moja yeye na rafiki yake wa kike wakapewa lift kurudi mitaa ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom