Beers...????
mmmmh...wot abt PRAYERS, POLITICAL and...!!!
hahahahahaha I agree with you Rev. Umewaza nini mpaka ukaandika hivi? ulikuwa kule kwenye jukwaa la siasa nini? LOL!
YouTube - P-Square - Do Me
Women are sweetest compared to beer na mpira
Hahahahahahaha kuna game la kukata na shoka EPL, MANU NA Chelsea mchezo wa mwisho wa msimu. Atakayeshinda ndiye bingwa na kombe liko uwanjani. At the same time kuna binti aliyejaliwa kila kitu na Muumba wetu anakusubiri. I know what will be your choice in this situation hahahahaha Nadhani wapenzi wengi wa kandanda watakubaliana nawe.
Niliwahi ahirisha interview ya mtu! kisa kuna toto la Kitanga lilinisms nikutane nalo mitaa ya kati acheni wazee
Confusions and illusions. Beers is the best for every thing.
We normally pray to praise beer
[FONT=Times, serif]OUR LAGER, WHICH ART IN BARRELS,
HALLOWED BY THY FAME.
THY WILL BE DRUNK, I WILL BE DRUNK,
AT HOME, AS IT IS IN HEAVEN.
GIVE US THIS DAY OUR FOAMY HEAD,
AND FORGIVE OUR SPILLAGE,
AS WE FORGIVE THOSE WHO SPILL AGAINST US.
AND LEAD US NOT TO INCARCERATION,
BUT DELIVER US FROM HANGOVERS.
FOR THINE IS THE ALE, THE PILSNER, AND THE LAGER,
FOREVER AND EVER.
- AMEN - [/FONT]
Watoto wa Kitanga wakijaliwa basi hujaliwa kweli na wanayajua mapenzi kupita kiasi. Halafu watu wanasema oh! kalishwa limbwata yule! Kumbe huduma za hali ya juu tu. Tanga ni kiboko yao.
LIzzy bana! Tupeane furaha inapendeza zaidi
Women are sweetest compared to beer na mpira
Naomba nikupe furaha! lol