Je Kuna Ukweli wowote hapa?........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Kuna Ukweli wowote hapa?...........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Dec 15, 2010.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kakaz, dadaz, wapwaz/binamuz na Babuz...........Nawasalimu kwa upendo na amani.

  Nimekaa hapa nikiwaza na kujikuta napata kigugumizi cha mawaazo.......................mara nyingi nimeshuhudia couples mbalimbali zikizaliwa na nyingine kufa wakati nyingine zikisurvive....kuna kitu nimekinote sasa sijui ni mimi au ni mawazo yangu ninaomba msaada wenu katika kunielewesha .

  ............Mara nyingi zile couples ambazo mwanamke huwa ni aggressive--- kwa maana ya kuwa mnoko yaani asiyetaka mchezo na penzi akupalo.......... hudumu kwa muda mrefu than zile couple ambazo mwanamke ni mpole, ambaye hata kama mwenzi wake kakosea anaogopa kuuliza au hata akiuliza kile atakachojibiwa yeye atakikubali........... mfano umechelewa kurudi nyumbani au amekukuta na sms tata.............atakaa kimya au hata kama akiuliza ukitoa maelezo yoyote atakubali tu ....... tofauti na yule ambaye ni mkali anayeweza hata kukivunjilia mbali kinokia chako.... ambao wengine hudiriki hata kurefer kwa wenzako.... mh kiafabde changu noma!!

  Je kuna ukweli wowote hapa?
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  Sadly kwa maoni yangu hakuna my love...
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Dec 15, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante Kaizer .........nadhani ninapotoka tu kimawazo. Thanx kwa kuniongoza
   
 4. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hapo A na B ni sawa yaani awe mpole awe mkali chochote kinaweza kutokea!
   
 5. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  MJ1 kny ndoa nadhani hekima inatakiwa zaidi badala ya huo ukali,,ingawa kuna sehemu unatake part ila kwa upande mwingine ukali unaweza kuharibu jumla,,kwa hiyo haitabiriki.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 15, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Ukweli upo na haupo nikiwa na maana ya kwamba katika hali au mazingira yote mawili unaweza ukawa na anecdotal situations ambazo unazijua.

  Lakini ya kuwa absolute hapana maana kila uhusiano una dynamics zake tofauti.

  Ila kwa mwanamke ambaye ni no-nonsense type lazima mwanaume atatanguliza heshima mbele kuliko yule aliye pushover na hivyo kupelekea kuwa na uwezekano wa uhusiano kudumu kwa sababu utajua hatakuchekeachekea ukileta ujinga.

  Sijui nimeeleweka?
   
 7. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna kaukweli
  Mwanamke asiyetaka upuuzi mume "humuogopa" hawezi kumletea gozigozi waziwazi lakini kandokando huyo mwanaume ni mtundu kupitiliza!
  Kisirisiri huwa anampenda sana mkewe lakini huo woga alio nao humfanya atafute mwanamke wa nje mwenye kumtetemekea.Kuachana hawaachani maana mume anajua huyo mamaa ni mkombozi wake kama mchungaji wa kondoo aliyepotea.
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  kuna ukweli ama hakuna wise.....(sijui usingizi?)
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Couples ambazo mwanamke hasemi kitu halafu anaitikia tu hata kama anadanganywa ni mbaya sana.
  Huwa analimbikiza hayo mambo rohoni. Siku atakwambia nipe talaka yangu, ukimuuliza sbb atakwambia ameamua tu kumbe moyoni moto unawaka.
   
 10. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ukali unaweza ukasaidia wakati flani ama usisaidie.
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hawajaoa wala kuolewa. Usiku utakuwa mrefu sana.
   
 13. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wangu akiwa mkali, nikitoka ndo sirudi. Nirudi kufanya nini wakati najua kutawaka moto?
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Si ni hapo awe moto unawaka moyoni,kama shinikizo la damu halijachukua nafasi yake? Unaweza kuwa kimya na kunyamaza kama nawe ni mtazamaji tu kwa maana hakuna ndoa.Otherwise kudumu kwa ndoa ni pamoja na afya njema,so lazma mlindane.
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mara unashangaa mwanamke amekupa mitama haujakaa sawa ile unanyanyuka unapewa kichwa ukiwa bado unajiuliza kinachoendelea unashangaa umepewa ngumi za mdomo sijui utabaki sijui utatoka nduki lol!!!!!!!!!
   
 16. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  1. mwanamke ukiwa unamshiko umemzidi husband kwa sana halafu ukiwa na mdomo ndio atakuogopa anatafuta wa nnje kisirisiri lakini ukiwa wewe ndio tegemezi halafu unaleta kimdomo domo chako unatimuliwa mbali.

  2. Inategemea huyo mwanaume alikupenda kwa dhati sio uliipanga hiyo ndoa either kwa kulazimisha au kwa kujibebesha mimba, kama hiyo ndoa ulilazimisha ukileta mdomo anakutimua kwani alikua hakupendi kwa dhati (kuna dada mmoja alilazimisha kuolewa kwa kujibebesha mimba, mwanaume akaja akazaa nnje akaleta mtoto mwanamke ile kuanza kugomba tu mwanaume akamjibu unanipigia kelele za nini na wewe si ukazae nnje kwanza sikukupenda ulinilazimisha ka vipi timua dada wa watu hana la kusema na alijizalisha watatu fasta)

  3. unatakiwa usiwe mkali sana wala mpole sana mengine unakua unamezea tu ila yakizidi ndio unazungumza kama hasikii na wewe tafuta mpango wa nnje unakuwa unaenda kupoozea machungu ili kuepusha malumbano
   
 17. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  umenikumbusha hii nyimbo ya nini malumbano ya nini maneno najiweka pembeni niepushe msongamano


   
 18. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2010
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hahahahahahahahahahah
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  MJ1..Mambo yangekuwa marahisi hivyo ndoa nyingi zingedumu kwa sababu wanawake wengi wangeamua kuwa wakali au kuwa kama askari wa kukodi ili kuwashikisha adabu waume zao. Siyo hivyo mdogo wangu. Taasisi ya ndoa iko complicated kuliko hata Ikulu ya Marekani!

  Ila kuna dada yangu mmoja tulikuwa tunaongea juzi (yuko kwenye ndoa karibia 30yrs) na tumekubaliana kwa hoja kuwa kwa sehemu kubwa kudumu kwa ndoa au kutodumu kunamtegemea mwanamume zaidi kuliko role ya mama! May be right or wrong, wadau wengine wanaweza kumwaga mauzoefu yao!
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Dec 16, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha umenichekesha kweli TF haa ahha u made my day
   
Loading...