Staying Apart.... Dawa ya Long Lasting Marriage........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Staying Apart.... Dawa ya Long Lasting Marriage........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by VoiceOfReason, Dec 12, 2010.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kwa wale walioshapata wenzao... na kuoa wanajua uvumilivu ni moja ya nguzo za ndoa... lakini tunajua kabisa kizazi cha sasa sio wavumilivu thats why wazazi wetu waliishi pamoja kwa muda mrefu tofauti na sasa......

  Kuna Jamaa mmoja Baada ya kuishi na Mke wake kwa Miaka 50 aliulizwa na Mwenzake Je? umewezaje kufanikisha hilo?.... Naye alijibu kuwa Nimeweza kukaa na mwenzangu kwa muda mrefu kwa kutokukaa nae kwa muda mrefu..... The point being sio mbaya kama mume na mke kuwa na some me time mume au mke anasafiri kidogo hata kwa wiki.. akirudi mwenzake anakuwa amesham-miss sio kila siku mpo wote 24/7 7 days a week for 365 days.. hapo ndo mwanzo wa kuchokana
   
 2. B

  Brandon JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hili nalo neno! Nimeipenda sana.
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  What is ur marriage status?
   
 4. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nilipooana heading ya topik yako nikajua umemaanisha key to long lasting r'ship ni kulala vyumba tofauti...:A S shade::A S shade:
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Single
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hapana dada sasa hapo itakuwa ni kwamba mmeshachukiana tayari... wakati bado penzi lipo motomoto mnakuwa apart kwa muda now and then mna delay kuchokana na kupunguza ugomvi usiokuwa na kichwa wala miguu
   
 7. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  :A S tongue::A S tongue:
   
 8. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nimeichakachua posti yangu,sikujua umeshaniquote........:embarrassed::embarrassed:nimekuelewa ila kuchokana baada ya muda fulani nadhani hakuepukiki hata kama mnapeana nafasi bado hii routine baadae itakuwa monotomy,akisafiri unatamani abakie huko huko...:rant::rant::rant:
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  naomba ni PM sasa hv nikuhabarishe please
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  real then update urself
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kweli Kuchokana kupo.. , lakini kama mlipendana mwanzo lazima kuna some positives as well as some negatives.. kwahiyo mkiwa apart lazima utamiss those positives.... kuliko mnapokuwa wote all the time mtu unaconcetrate kwenye negatives...... kama walivyosema "Aint No Sunshine Till Its Gone" Na kama tunavyojua there is a Thin Line Between Love and Hate... Mtapokuwa mnaboana kila mara and getting into each others nerves its easy for that love to turn to hatred... lakini unapopata breather na kutafakari unajua umuhimu wa mwenzako
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hii rule yako inaweza ikawork lakini pia inaweza ikala kwako, hiki ni kizazi cha bongo fleva bana, samtaimu hiyo wiki unayoondoka mwenzi wako keshaipigia mahesabu. nadhani kuchokana sio ishu sana ,ishu ni watu tunaobey sana command za emoshen zetu.
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Binadamu hachungwi ndugu yangu kama akiamua kufanya chochote hata ukikaa nae masaa 24, anaweza akafanya chochote akienda saloon, sokoni, kazini n.k. ........ Some birds are not meant to be caged...... "If you love someone, set them free. If they come back they're yours; if they don't they never were"
   
 14. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nooo basi haupo sahihi, kukaa mbali sometimes inavunja ndoa, but it depends nani uko nae.
   
 15. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii Comment inaonyesha experience flani hivi....si Bure hii......Anyway kipindi unatamani abaki hukohuko nani atakua anakupa Co????
   
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kama umenisoma vizuri, sikuongelea kuhusu binadam kuchungwa , nimeongelea kwamba unaweza uka apply hiyo rule yako na ukalizwa vile vile, so kama unajaribu we jaribu tu lakini usizani kuwa hiyo rule ni solusheni kwa kizazi cha leo. nazani utakuwa umenipata, kama bado nishtue nirewind.
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kwa kizazi Cha sasa hakuna solution ya kuacha kulizwa it takes two to tangle Kama umepata mwenza mapepe hata ufanye nini kama atataka kuondoka ataondoka tu.... kwahiyo chochote utakachofanya utakuwa una delay the inevitable, soon or later ataondoka tu, ila kama unaye partner mwelewa na yupo poa si vibaya mkawa mnapeana ka nafasi kidogo sio mpaka muwe wote all the time....
   
 18. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  HAWA SI NDIO WALE WALIOPIMA DNA ZA WATOTO WAO JAMAA AKAKUTA WATOTO WATATU KATI YA WANNE ALIONAO SIO WAKWAKE? maana kuna vidume vilikuwa vinavizia akisafiri tu...
   
 19. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kama ni mtu wa kuchakachuliwa hata usiposafiri watu watachukua tu...... Na mtu ambaye hajiheshimu mpaka uwepo karibu hafai, inabidi awe anajiheshimu no matter wewe upo wapi...
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280

  mmmhhh hii rule safi lakini si dhani ka itafanya kazi kwa watu wengi sana ..
  watu wengine wanapenda kubadisha tu mazingira ka hali ni ngumu kidogo...
  ila wako 24/7 pamja lakini ..
  mambo ya nyumbani yakiwachosa wanachukua holiday wote,,
  safari za hapa na pale za kupeleka mchele na sukari kwa bibi hizo sawa, au za kikazi n.k
  si amini kuwa apart ndo solution ya kuish long lasting love more like break it lol
  mmmhh binafsi nahitaji Dozi yangu ya Klorokwini daily ..
  sasa nikikosa hiyo naniko mbali na mpenzio ..
  siitabidi niende dukani kununua...
  halafu ndo tutarudi kwenye ile thread yako nyingine
  "Honesty Is the Best Policy…. Lakini Kwenye Mapenzi Sometimes Uongo Is the Only Answer"

  yanini kujitafutia matatizo umeamua kuwa na mtu gangamaa naye mpaka hapo kielewe..
  kama huwezi kudum kwenye relationship stay single...
  samahani kama nimekukwaza

  AD
   
Loading...