Wana JF
Leo ni siku ya ukimwi duniani
Tutumie siku hii kuelimishana juu ya ukimwi na madhara yake na kusaidia ambao wanao waishi vipi
Mungu awalaze peponi waliofariki na ukimwi na Mungu...
Wana Jf sina budi nianze kwa kuwashukru kwa maombi yenu. Mpenz wangu aliyepigwa Risasi 3 ameruhusiwa kutoka hospital baada ya afya yake kuimalika. God bless u all.
Mambo ndani ya Ghana hapo wakuu....:target:
Ghana bans second-hand knickers
Many clothes sold in markets in Ghana are second hand and imported from Europe
Market traders in Ghana...
wana JF unajua raha ya mapenzi mtu akufanyie kile unachokipenda na wewe umfanyie anachokipenda vilevile,hebu tuambizane huwa unapenda mpenzi wako akufanyie nini mnapokua pamoja? mimi huwa napenda...
nahitaji binti,umri miaka 40 - 45,alieachika au ambae hajaolewa,awe anajitegemea.hana UKIMWI Wala GONJWA LOLOTE LA KUAMBUKIZA,asiwe sex maniac(sijui kwa kiswahili nisemeje),asiwe mlevi wa...
Nimekuwa kila nikihudhuria sherehe mbalimbali kama harusi, sent-off na occasions zingine nawaona baadhi ya wanandoa wanakuja na watoto wachanga (kama miezi 3, 6 10).....! Wanakaa hadi saa sita -...
Unajua unapokuwa kwenye mahusiano mapya nimengi hutokea namengine huwa niyakuudhi hivyo ujikuta unakaa kimya ili usije ukamudhi mwenza wako katika hili pendo jipya!!
Sasa basi ukiona unampenzi...
Wana jamvi nimekuja huku kwa vile najua kuna ma-nguli katika fani ya mapenzi na nawaombeni msaada wa maarifa katika kumsaidia jamaa yangu.
Huyu ni sahiba yangu wa tokea udogoni ambaye ni kijana...
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza...
Wapendwa, wengi wetu wataalamu wa tendo la ndoa humu, leo tuangalie sisi wanaume
tufanye nini ili kuwa na furaha na mashuti ya nguvu, ukiachilia mbali balace diet, mazoezi,
na some wanaume as we...
Wapendwa ndugu, jamaa na marafiki......natumaini weekend kwenu ilikuwa njema kama kwangu. tumshukuru MUNGU kwa hili.
Wakati nikiwa nimekaa kwangu nikiimalizia weekend hii ya mwisho wa mwezi wa...
REF: INSTALLING HUSBAND !
A woman writes to the IT Technical support.....
Dear Tech Support,
Last year I upgraded from Boyfriend 5.0 to Husband 1.0 and I noticed a distinct slowdown in the...
WAPWA NA MABINAMU nina rafiki yangu ambaye huwa ananunua beseni zima la ndizi la dada mmoja hivi anayetembeza ndizi akisha nunua huyu dada anakaa kwake mpaka jioni anamchakachukua mpaka jioni...
Kati ya mambo ambayo wanawake wengi wanakosea au hawajui ni tabia za wanaume. Kimsingi binti au mwanamke anaposhawishiwa na mwanaume na kuwa na uhusiano wa kimapenzi, mara nyingi hupanga malengo...
nasikia kwamba wanaume wafupi manayajua mapenzi na wamejaliwa mfagio wenye saizi nzuri ambao hudatisha wanawake wengi.
wanaume wafupi huwa na saizi isiyokera na pia isiyohitaji ufundi mwingi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.