Karibuni katika harusi yangu wana JF


Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,649
Likes
120
Points
160

X-PASTER

Moderator
Joined Feb 12, 2007
11,649 120 160
Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.
Haya ndugu yetu, mimi binafsi natanguliza Mabruki, na pia nakutakia kheri kwenye huo ulimwengu wa Mathna!

Basi hata anuani hutoi, ili tujuwe walima itakuwa wapi!?
 

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2008
Messages
881
Likes
31
Points
45

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2008
881 31 45
Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.

Shekhe unaoa mke wa pili je uadilifu unauweza???????????!!!!!!!!!!! Angalia usije kupata zambi za kupendelea upande mmoja. Isijekuwa kama yaliyomo ndani ya nyimbo hii


au katika nyimbo hii


Nakutakia kila heri


 
Last edited by a moderator:

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,208
Likes
3,313
Points
280

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,208 3,313 280
kwa hiyo nipake henna na piko ya kutosha eeh.....udi na uturi vyote ntie.....:doh: beer?
 

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Messages
5,898
Likes
449
Points
180

hashycool

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2010
5,898 449 180
I dreamed of a wedding of elaborate elegance,
A church filled with family and friends.
I asked her what kind of a wedding she wished for,
She said one that would make me her husband....
just thinking aloud.....hongera sana chamajani
 

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,154
Likes
2,451
Points
280

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,154 2,451 280
asante sana kwa mwaliko..
hopeful kila kitu kitaenda sawa siku hiyo kubwa...
na nina watakia kila lakheri kwa maisha yenu ya ndoa..
God Bless
 

chamajani

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2010
Messages
554
Likes
1
Points
0

chamajani

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2010
554 1 0
Haya ndugu yetu, mimi binafsi natanguliza Mabruki, na pia nakutakia kheri kwenye huo ulimwengu wa Mathna!

Basi hata anuani hutoi, ili tujuwe walima itakuwa wapi!?
Ha! Ha! Ha, huu ulimwengu wa mathna,thalatha ma arb'a una enjoyments zake bana si mchuzi! Aaa,unajua shk walima ya 'second best but risk' huwa haitangazwi mapema bana!au mesahau veve?
 

chamajani

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2010
Messages
554
Likes
1
Points
0

chamajani

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2010
554 1 0
kwa hiyo nipake henna na piko ya kutosha eeh.....udi na uturi vyote ntie.....:doh: beer?
Ee!ee! Preta, wataka kuwa 'third but bad' wangu nn? Je ikitokea hyo henna na piko yako+uturi wako vinazidi waridi langu si itanladhimu pia kulichuma na hilo komamanga lako soonest! Ok join to ths real enlarging world of mathna,thalatha no more arba! There still 2 rooms open an may be one z 4 you(say inshllh). Kwani gari yaenda vizuri ikiwa na 4 wheels mamaa!
 

Forum statistics

Threads 1,204,460
Members 457,330
Posts 28,159,105