Nataka nimpe kavukavu........

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Wakuu hapa ofin kwetu bwana kuna dada mmoja tabia yake me inanikera sana. Kiukweli ni mchangamfu na funny ila anachoboa antabia ya kuomba sana. Tukitoka kwenda lunch mfano mkikaa anaweza kuagiza soda af hela anataka ulipe wewe (ulie kaa nae). Akikukuta dukani unaanya shoping zako anaingizia zake as if u planned na anang`ang`ania kweeli ulipe kama ukitaka kukataa.

M e binafsi nilishamnunulia vocha sio chini ya mara2 soda ka mara3 kwa style hyohyo.
Sasa jamani me nadhani boratu nimpee kavukavu kua bwana unaboa na hyo tabia.ka ni kununuliwa v2 ka hvyo co ishu lakin sio kwa njia hyo. Au........
 
Unachoshindwa ni nini? au nawewe ulikuwa unamtega kuwa labda siku moja atakupatia mambo flan na siku zinazidi kwenda?
 
kama vp mpe live mkuu...mademu kama hao mara nyingi hata wachumba hawapati!
 
Jamani omba omba tena mpaka shoping huyo kazidi. Ila naona na wewe unamlegezea si umwambie hayupo kwenye bajeti yako huko ndo kumuendekeza then unakuja kulaumu huyo ni wa kumwambia ilaa duuuh hata hana soni jamani eeehhh Pole mwaya
 
Unachoshindwa ni nini? au nawewe ulikuwa unamtega kuwa labda siku moja atakupatia mambo flan na siku zinazidi kwenda?

Mkuu ukweli unabaki palepale kua mi sijawah hata kumtamani kwa ngono hata ningekua na nyege kiasi gan, achilia kumtaka kimapenz.
 
Wakuu hapa ofin kwetu bwana kuna dada mmoja tabia yake me inanikera sana. Kiukweli ni mchangamfu na funny ila anachoboa antabia ya kuomba sana. Tukitoka kwenda lunch mfano mkikaa anaweza kuagiza soda af hela anataka ulipe wewe (ulie kaa nae). Akikukuta dukani unaanya shoping zako anaingizia zake as if u planned na anang`ang`ania kweeli ulipe kama ukitaka kukataa.

M e binafsi nilishamnunulia vocha sio chini ya mara2 soda ka mara3 kwa style hyohyo.
Sasa jamani me nadhani boratu nimpee kavukavu kua bwana unaboa na hyo tabia.ka ni kununuliwa v2 ka hvyo co ishu lakin sio kwa njia hyo. Au........

knye bold nilijua kusex bila condom kumbe unaleta story za shoping
 
wewe uli intertain upuuzi toka mwanzo, ungemtolea uvivu toka siku ya kwanza asingerudia sasa kaona mteremko tu kama machungwa ya waluguru yanavyoporomoshwa toka mlimani na yanakutwa sokoni yakimsubiri mwenye nayo.

Lakini jamani, mtoto wa kike si kaumbwa na soni japo kidogo?!
 
Mkuu mpangie kabisaaa bajeti yake soda na vocha tuuu mpe mkuu every day!
 
Hata mimi nilifikiri unataka kupita under her arch bila kuvaa helmet. Fanya kama alivyofanya huyu jamaa: jamaa alikuwa anakwenda kupata chai, mdada wanayefanya neye kazi akamwambia waende wote; wakaenda mpaka kwenye super hotel, jamaa akaagiza chai ya rangi kikombe kimoja na vitumbua viwili na yule dada akaagisha kuku, kababu, mayai, chai ya maziwa, na soda. Jamaa yeye akamaliza mapema yule dada bado akawa anagonga breakfast. Jamaa akamwambia mimi nipo hapo nje napata fegi kidogo, kabla ya kwenda nje akalipia bill yake ya chai moja ya rangi na vitumbua viwili na kuachana na ile bill ya mdada.

Jamaa katoka nje na kuunga ofisini moja kwa moja. Huku yule dada alipotaka kutoka akijua jamaa yuko nje na kesha lipa bill yake, mhudumu akamwambia hii bado haijalipiwa. Dada akauliza aha yule jamaa hajalipia, akaambiwa kuwa yule jamaa kalipia ya kwake tu. Halafu yule dada hakubeba pochi yake. Bahati nzuri wamekuwa wakiitumia ile hotel kwa workshops za ofisi hivyo meneja akamruhusu na kuwa atalipa baadaye. Yule dada kamkuta yule jamaa anapiga kazi ofisi kama vile hawakutoka wote na wala hakumwambia kitu kuhusu lile sakata ila alikuwa anawaambia wadada wengine mle ofisini kwao kuwa: "jamani ehe sina hamu na Jimmy kanitenda" na kutoa story nzima na mwisho "sitarudia tena yaani huyu kaka lo!"

Mpe lesson kama hiyo na ndio hapo utaonesha kuwa wewe ni mwanaume original wa kiafrika. Na baada ya kumpa hii kubwa kula muziki huu hapa YouTube - P-Square Feat. J Martins - E No Easy
 
Wataalam wa yale mambo, taito ya hii thread ilishatupeleka Jolly Club, kumbe mambo yenyewe ndo haya ya Mbagala Maji matitu? No comment!
 
Mkuu ukweli unabaki palepale kua mi sijawah hata kumtamani kwa ngono hata ningekua na nyege kiasi gan, achilia kumtaka kimapenz.

Unaweza usimtamani lakini kwa vile ni opposite sex nguvu ya kukataa ikaisha. Yawezekana hujagundua penzi lako kwake kwa vile mnashinda wote mara nyingi.
 
Nisome kati ya mistari au unazungumzia dada unayemnunulia vocha kikweli?
 
Kwa kweli inategemea na ulivyomzoesha. Wanawake wengine think that, just because you are a man, then you have to pay for everything. Mimi nilikuwa namdate mwanamke fulani, she never paid a thing, but nilisikia anamhudumia mwanamume mwingine kipesa na mambo mengine. kisingizio, eti alikuwa hana kazi at the time. Nilivyosikia hivyo, nili lose interest kabisa.

Wanawake wengine ni noma kabisa, then wakikutana wenyewe kwa wenyewe, utasikia...oohh lili buzi langu.
 
Back
Top Bottom