Samahani waungwana ila a few monts ago nimeanza kubugia pombe kama maji. Nilikuwa nimemwamini sana mke wangu. nilimpa asilimia mia moja. nami baada ya ndoa sijawahi kumsaliti sasa yeye kaamua...
Asalaam aleykum, bwana asifiwe, tumsifu Yesu kristo wanaJF, poleni na msiba wa wapendwa wetu wawili Remmy na Baba Diana mola azilaze roho zao mahala pema peponi.
Jamani huyu mtu anaitwa BIGIRITA...
Naamini Mungu mwenye huruma, mwingi wa baraka na rehema, alimwazesha Da Sophy kajifungua salama...
Nakumbuka mara ya mwisho alikuwa hapa akisema kuwa mimba imepitiliza kidogo.
Kwa anayefahamu...
The Sexual Addiction Symptoms
Added: 12/16/2005
Sexual addiction is a constant sexual desire which can be rarely satisfied despite many sexual encounters and a great number of partners. Sexual...
Wapendwa wana Jf, kama tunavyoona mwaka ndo huo unamalizikia, mimi Mamushka ninatafuta mtu wa kumaliza nae mwaka. Sifa. Awe mwanaume mrefu, mweusi kiasi, aliejazia kakomaa mwili kidogo ila sio...
Nimekuwa nikifuatilia thread za MMU nikakuta nyingi ni za wapya nimeshutuka!!Utakuta zakutaka wake za watu,kutaka mimama,Wanaume lakini waliooa,wanataka mwanamke mwenye uwezo sasa nashindwa kujua...
...bANDUGU wAPENZI...
Kila tunapokaribia mwisho wa mwaka, ajali na vifo huwa ni kama hitimisho la mwaka. Hebu tukumbushane yaliyo muhimu, sio kila siku kusifia Infidelity tu, roho ikiacha mwili...
Nimekuwa nikisikilza kimasomaso BBC kuwa lecturers wa vyuo huwataka kimapenzi mabinti wasomao vyuoni na kama wakikataa wanawafelisha . Pia kuna kina dada ambao hujilengesha moja kwa moja kwa...
Hivi kumbe wanawake wengi hawana maamzi nafaragha zao hasa swala la uvaaji wa kondom hawawezi kumwambia mwanamume avae kondom ujikuta wameshaishiwa nguvu na kumwachia mwanamume atoe maamzi!!
Kweli jamani najua sana madhara yake ila mke wa mtu mtamu bwana. Kwanza ni nzuri kama wote mnaiba. Yani mwanaume kaoa na mwanamke kaolewa, yani mkikutana kwenye kuchakachua penzi utamu wake hauni...
Perhaps men - some - are super creatures who do not fear rain, storms, clouds or lions. But there some things would not want their women to know. Until it is too late to ditch the relationship...
Ni swali ambalo nimejiuliza siku nyingi na bado sijapata jibu,hivi mtoto wa kiume ile pembejeo yake ya haja ndogo inakoma kuongezeka size akiwa na umri gani.Maana kwa kawaida mtoto akizaliwa...
Huyu nae, mama wa watoto wawili, story zimezagaa mtaani, kaolewa na mme wake ni mtu
na maisha mazuri tu, ila katongozwa kidogo tu mzee wake kaenda mikoani kikazi anagawa,
tena watoto wakiwa shule...
Wanaume mbona tunawayumbisha sana wake zetu?
Wakikaa sebuleni kwa kulegea, tunawasihi wakae vizuri. Utasikia dume liking'aka "kaa vizuri wewe", tukiwa na maana wajibane.
Wakikaa kwa kujibana...
Uko na rafiki yako.mmezaliwa,mmeishi na hata mmesoma shule moja..tumuite kaka wa kwanza dulla na wapili tonny..wote mko na mabinti mnawapenda sana ila hamjachumbiana..dulla akiwa na rita na tonny...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.