Watoto wengi wa ndoa wamechakachuliwa!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
2,000
Si kwamba nakutisha la hasha hiyo ndio hali halisi ..yawezekana we unaesoma hapa mama ndie anaejua babako halisi ni nani...kwa kuwapasha tu ndoa nyingi sasa wanawake wanaingia na mimba makanisani nimeosma mada moja nkacheka sana labda niwajuze hili linatokana na wanaume wengiwanataka kuingia ndoani wakiwa na watoto sasa basi mwanmke akijua tatizo la huyu ni mtoto basi ni muda anapoamua kuzaa na anaempenda na hapo unakuta bfriend wake wa zamani ama kigogo ama kibosile wa serikalini mwenzio anaendelea kula fedha kila mwezi baada ya kujifungua we unachakarika kununua serelaki za kuchakachuliwa kariakoo....kwa kifupi watoto wengi walio kwenye ndoa WAMECHAKACHULIWA na siri hiyo anayo mama yao mzazi pekee tu...si nakutisha ila huu ndio uhlisia halisi na wengine wamekuja kujua baada ya mttoto kuwa na miaka 10-15 utafanyaje zaiidi ya kumwachia MUNGU na kutarajia siku na yeye akutunze na babake halisi

Sina nia ya kukwambia usioe ama lah ila Mwombe Mungu sana watoto wengi wa ndoa wamechakuchuliwa now days
 

hee-wewe

Member
Dec 15, 2010
42
0
ni ukweli mtu pdidy, sababu siku moja nilikuwa nasikiliza radio, fulani ya kidini kulikuwa na mahojiano kama hayo uliyoyasema, mama mmoja akapiga simu, uku analia anasema kabla hajamrudia Mungu alikuwa na kigogo wake wakivinjari, kwa hiyo akapata mimba ya kwanza akamwambia mumewe nina mimba mume wake alifurahia sna, akajifungua vizuri jamaa akalea kwa mapenzi makubwa sna, haikutosha akazaa tena mpaka mtoto wa nne, wote wa yule kigogo, mumewe hajui,, sasa baada yakumrudia Mungu anaona anaukumiwa sna moyoni, vile baba anaangaika na watoto huku siyo kwa kwake, akawa anamwomba mtumishi wa Mungu amsaidie afanyaje,,, kwani anaogopa kumwambia mume wake maana anaona ndoa itavunjika huku bado anampenda sna mume wake?? lakini mtumishi wa Mungu akamwambia itabidi amwambie sasa sijui kama alifanya hivyo,,,,,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom