Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kwa muda nimekuwa nikimfuatilia jinsi serikali ya JP Magufuli ikifanya kazi, inaleta matumaini ukifananisha na mtangulizi wake mzee wa Msoga. Jana kwenye hotuba yake amegusia mambo nyeti japo sio...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
2007-2011 chadema walipaza sauti kubwa ZIDI ya Mr Richmond nna kumtangaza wazo pale mwembeyanga na kwenye kampain.za 2010, aliitwa shetani,fisadi papa,kibaka wa kuchomwa moto,lkn 2015 HARAKATI...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Unafiki na undumila kuwili kwa sasa umewaumbua. Mlificha magonjwa kwa unafiki na sasa kifo cha serikali ya umoja wa kitaifa kinawaumbua. Mlimtumia Abubakar Khamis Bakary Mwakilishi wa Jimbo la...
24 Reactions
172 Replies
15K Views
mwalimu nyerere ndio.muasisi wa serekali ya mseto zanzibar na hii wazo lilitokana na matokeo ya uchaguzi wa mwaka 1995 baada ya ccm na cuf kukaribiana sana lkn cha kushangaza wana ccm wenzake...
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Leo Mahakama Kuu Kanda ya Tabora Chini ya Jaji Lumanyika imekamilisha hatua zote za majibizano ya kisheria kuhusu kesi ya Kafulila kupinga matokeo ya ubunge Kigoma kusini, Katika shauri hilo,jaji...
12 Reactions
95 Replies
16K Views
Tumekulewa Amiri jeshi Mkuu Makufuli,tumeelewa kwa nn Urais umetunikiwa ww.kama kuokota embe kwenye mbuyu,Ila historia itakukuhukumu. Kwamba sisi wananchi tulio wengi wa Zanzibar tunamwambia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Haki ya kusikilizwa ni basic principal katika kutenda haki.... ni haki mama na ndo maana kuna mahakama.... Mheshimiwa waziri mkuu, swali lako moja tu jana pale bandarini wakati unamhoji yule mama...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Yapo mambo yanaleta ukakasi na kujiuliza kuhusu dhamira yetu ya kuendesha kesi zinazohusiana na mauaji. Imekuwaje kesi ya rubani mzungu Rogers ndani ya wiki moja imepelelezwa na kuhukumiwa tena...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Waliofuta AZIMIO LA ARUSHA kule Zanzibar ndio wameliingiza Taifa katika Utumbuaji Majipu.Namwonea huruma Rais wangu Magufuli kwani kazi iliyombele yake ni kubwa mno.Wengi waliomzunguka nakumsifia...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Wadau Tanzania yetu ilijengwa kwa moyo wauzalendo mkubwa na waasisi wetu wawili Mwl Nyerere na Sheikh Karume rais wa kwanza wa Zanzibar. Kutokna na uzalendo wao waliijenga nchi yetu kwa misingi...
1 Reactions
1 Replies
744 Views
Shule ya Msingi Maji Matitu Wilayani Temeke ikiwa imefurika Wanafunzi zaidi ya wanafunzi 1000 waliandikishwa darasa la kwanza hii kwa kawadia ni zaidi ya idadi ya wanafunzi wa Shule nzima na hii...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jana katika Hotuba yake kwa wazee wa Dar Rais magufuli alitusisimua wengi (kama kawaida yake) kwa jinsi alivyodhamiria yeye na serikali yake kuondoa ufisadpi na kuleta maendeleo kwa watanzania...
9 Reactions
34 Replies
4K Views
Jana Rais wangu mpendwa, Amiri jeshi mku mtukufu John Pombe Magufuli amezungumzia hali ya kiasia visiwani Zanzibar na kuweka bayana kwamba kamwe hataingilia mgogoro huo kwa kuwa Tume ya Uchaguzi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Historia inaonyesha kuwa nchi zote zenye rasilimali nyingi pamoja na mafuta na gesi hazina amani, zimejaa machafuko na wanaoangaika ni wazee, watoto na wakina mama, Pia uko ushaidi wa kitakwimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huwa nashangaa sana kuona watendaji kama Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara mbalimbali ambao wengi wao ni wasomi, wakiburuzwa sana kwa vimemo, SMS, Calls ili wafanye maamuzi ambayo hata...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
HBR WANAJAMVI! NAJARIBU KUANGALIA HALI YA KISIASA NCHINI KWA SASA NA NIMEGUNDUA KUWA KUNA TOFAUTI KUBWA WAKATI CHADEMA IKIWA NA DR. SLAA NA YA SASA BILA DR. SLAA. SIJAONA KUIBULIWA KWA HOJA...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
  • Poll
Ni aibu kubwa kwa nchi yenye watu milion 50 kupigania kuonesha bunge wazi, ambapo kimsingi ni haki ya wananchi kuona kinachoendelea ndani ya bunge lao. Lakini upumbavu mkubwa ni pale unaposikia...
1 Reactions
2 Replies
912 Views
Mtakumbuka mgogoro mkubwa uliojitokeza kuhusu TBC kusitisha matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni. Serikali walijitetea kwamba chombo hicho hakina uwezo kugharamia matangazo hayo Sasa...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Mambo ya Muhimbili na jinsi raisi anavyojitoa binafsi na kutowashirikisha ina maana pana . Kumbuka marazote hasemi waziri fuatilia anapiga kimya. Ummy unasubiri media ndo utoe maagizo ulipaswa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kwa chama kinachojinasibu kuwa ni cha kidemokrasia kuendeshwa bila kufuata katiba Zaidi ya siku 90 zimepita tokea katibu mkuu wa chadema ajiuzulu,chama kimekua kikikaimiwa na...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Back
Top Bottom